Yanga wafungwa 7-1 Uturuki

Yanga wafungwa 7-1 Uturuki

Status
Not open for further replies.

fisi 2

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2010
Posts
3,284
Reaction score
4,652
Jana niliwasiliana na mchezaji mmoja wa Yanga alieko Uturuki ambae ni jirani yangu kaniambia walifungwa 7-1 na timu moja ya huko siku ya jumatano ila waliambiwa wasiseme na waandishi wa habari waliambatana na timu wametakiwa wasiripoti. Soka yetu tunamdanganya nani?
 
wewe simba, sikuhizi hakuna siri duniani wadanye wakijiweni kwako maana hawako mtandaoni.
 
Jana niliwasiliana na mchezaji mmoja wa Yanga alieko Uturuki ambae ni jirani yangu kaniambia walifungwa 7-1 na timu moja ya huko siku ya jumatano ila waliambiwa wasiseme na waandishi wa habari waliambatana na timu wametakiwa wasiripoti. Soka yetu tunamdanganya nani?

acha umbeya.ulikuwepo?mtoto wa kiume kuwa mbeya ni hatari sana!
 
Hii ni ile timu ya netiboli ya Yanga au? Fafanua mkuu. Wengine tuko kijijini hatujui mambo ya Ulaya.
 
Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu ya Tanzania timu ya Young Africans leo imetoka sare ya kutokufungana (0-0) dhidi ya timu ya KS Flamurtari inayoshiriki Ligi Kuu nchini Albania katika mchezo uliofanyika usiku wa leo katika viwanja vya Side Stars Complex Manavgat Antalya

Ukiwa ni mchezo wake tatu tangu iweke kambi nchini Uturuki, Young Africans mpaka sasa imeshashinda michezo miwili dhidi ya Ankara Sekerspor 3-0, Altay SK 2-0 kabla ya kutoka sare leo.

Kocha Mkuu wa Young Africans mholanzi Hans Van Der Plyum leo alikua akikikiongoza kikosi chake kwa mara ya pili baada ya kukiongoza katika mchezo wa awali dhidi ya Altay SK.

Akiongelea mchezo wa leo kocha Hans amesema vijana wake wamecheza vizuri, timu zote ziliweza kucheza kwa nafasi, lakini kwa umakini wa walinzi wa timu zote ndio maana milango ilikua migumu kufunguka.

KS Flamurtari ni timu nzuri, awali hawakutegemea kama watapata ushindani mkali kutoka kwetu, lakini kadri mchezo ulivyokua ukiendelea walishangaa kuona tuna kikosi safi kilichokamilika.

“Washambulaji wetu walipata walipata nafasi kadhaa lakini hawakuweza kuzitumia vizuri, hali kadhalika mlinda mlango wetu Dida aliweza kuokoa hatari nyingi kipindi cha pili kutoka kwa wapinzani wetu” alisema Hans.

Young Africans imebakisha siku tano kabla ya kuanza safari ya kurejea nchini Tanzania tayari kwa mikikimiki ya Ligi Kuu ya Vodacom na Mashindano ya kimataifa.

Young Africans:
1.Deogratias Munishi “Dida”, 2.Juma Abdul, 3.David Luhende, 4.Mbuyu Twite, 5. Kelvin Yondani, 6.Frank Domayo, 7.Mrisho Ngasa/Said Bahanuzi, 8.Haruna Niyonzima, 9.Didier Kavumbagu/Saimon Msuva, 10.Emmanuel Okwi, 11.Hamis Kiiza
 
Jana niliwasiliana na mchezaji mmoja wa Yanga alieko Uturuki ambae ni jirani yangu kaniambia walifungwa 7-1 na timu moja ya huko siku ya jumatano ila waliambiwa wasiseme na waandishi wa habari waliambatana na timu wametakiwa wasiripoti. Soka yetu tunamdanganya nani?

Kwanza kabisa mtoa mada huna akili na una umbea wa kike. Pili waliokutuma waambie watashindwa tu WANA YANGA DAIMA MBELE. Tatu kwa tabia yako ya kichangudoa umeshindwa hata kumtaja huyo mchezaji aliyekupa huo upuuzi. Nne habari hii wana Yanga haina ukweli wowote timu tunayo hapa ulaya na tunapiga mazoezi kama kawa. YANGA IMARA
 
Jana niliwasiliana na mchezaji mmoja wa Yanga alieko Uturuki ambae ni jirani yangu kaniambia walifungwa 7-1 na timu moja ya huko siku ya jumatano ila waliambiwa wasiseme na waandishi wa habari waliambatana na timu wametakiwa wasiripoti. Soka yetu tunamdanganya nani?

Hii jukwaa lake si hili:Sports & Entertainment Forum???
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom