Yanga Vs Simba: Martin Sanya na msaidizi wake wafungiwa miaka miaka miwili, kadi nyekundu yafutwa

Status
Not open for further replies.

BilioneaPATIGOO

JF-Expert Member
Jun 23, 2012
12,321
11,315
Mwamuzi wa kati aliyecheza mechi ya watani wa jadi (Yanga vs Simba), Martin Saanya, pamoja na msaidizi wake, wamefungiwa miaka miwili huku Nahodha wa Simba, Jonas Mkude akifutiwa adhabu ya kuzawadiwa kadi nyekundu.

Kama mdau wa michezo umeipokeaje taarifa hii?
 
Maamuzi mabaya hayawezi kukomeshwa Kwa hilo tuu, kuna mechi za mikoani za timu ndogo watu huonewa wazi wazi kabisa, ligi daraja la kwanza ndio inakera yaani figisu nje nje
*Tff watafute long term plan ya kuzuia uchzeshaji wa ajabu wa marefa
 
Waturejeshee goli letu la Ajibu, wafute goli la bafuni, hao waamuzi wachunguzwe account zao na ndugu/marafiki wao wakaribu.
 
Si haba japo tff nao ilipaswa wawajibike kumanga refa dhaifu aliye wahi kuharibu hapo nyuma. Kwani inasemekana ndiye aliharibu huko tanga msim uliopita!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom