Yanga vs simba 29/10/2011

Simba a.k.a mishikaki mnajua kuchez futaa la mdomon tayari kwa kutumia mdomo mmesha tupia magoli sita kwa moja haya bwana ila kesho msikimbie jukwaa na baada ya mechi kuisha msijejisahau mkalala na viatu
 
Jumamosi ya 29/10/2011 matokeo yatakuwa YANGA 1-SIMBA 6. Kipigo watakachopata hawa yeboyebo naona itakuwa kama MAN UTD VS MAN CITY. karibuni tuchangie, Nawasilisha.[/QU Mkuu haya matokeo njoo uyakariri baada ya mechi.
 
Watoto wa shehe Yahya kumbe mpo wengi!!

haahhahahahahahahah..hapa huhitaji miujiza yanga kesho anafungwa ila sijui ni goli ngapi, simba tumekamilika kila idara..kaseja,cholo,mafisango,nyoso,costa,santo,uhuru,kazimoto,sunzu,boban,okwi hakuna wa kuwazuia ni swala la kusubili muda tu..
 
Simba a.k.a mishikaki mnajua kuchez futaa la mdomon tayari kwa kutumia mdomo mmesha tupia magoli sita kwa moja haya bwana ila kesho msikimbie jukwaa na baada ya mechi kuisha msijejisahau mkalala na viatu
yeboyebo tutawachapa tu
 
nawaomba mizizi na maswi muje tena hapa mutueleze matokeo haswa maswi na utabiri wako wa 6 kwa 1 na wewe mizizi ungesema unahama ccm ningesema utekeleze ahadi yako ila coz umesema cdm nakuonya usijiapize tena.
 
Back
Top Bottom