Yanga vs Mbeya City Council LIVE Updates.

Yanga vs Mbeya City Council LIVE Updates.

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2013
Posts
13,667
Reaction score
29,958
Wadau mapema sana tumefika uwanjani...hali ni ya Joto nadhan hali hii ni mbaya sana kwa Yanga hasa kwa kuwa wamezoea Baridi huko Uturuky na pia hawa bhanyambala naaambiwa huko kwao Jijin Mbeya kuna baridi sana....kwa hiyo hali si nzur kwa team zote. nmekaa sehemu maridadi kabisa niweze kuangalia pambano hili lenye upinzan mkubwa sana.sijafahamu kwa nini lakin week hii nzima limekuwa gumzo. hapa naona washabik wa MCC wanaingia kwa makundi na jersey za team yao. na pia nawaona Yanga mmoja mmoja wakiingia.
ninayewaletea Live update ni mimi mwanajamii mwenzenu Chizi Maarifa aka Mti Mkavuhauchimbwi Dawa. tutazidi kupashana habari za mchezo huu.

UPDATES...

Bado...kuna hali ya Tensio sijui kwa kiswahili neno hilo..lakini washabiki wamefika wengi hasa wa MCC na filatu vyao....naambiwa zaidi ya washabiki 1000 wametoka MBY kuja kuishabikia team yao. Yanga walienda Bwagamoyo kupiga kambi ili kuikabili team hii ya wabishi wa kutoka mbeya. sasa Yanga wana advantages mbili maana walipiga kambi Uturuki na Pia sasa Bagamoyo hivyo wakichanganya mambo ya huko leo ni balaa kabisa.
 
Leo mbeya city lekod inachafuka tunasubir tu muda ufike.
 
Yanga atakula kichapo cha mbwa mwizi,na mijezi yao yenye gundu la kukataliwa na wengi
 
Mbeya timu,piga Yanga goli 2,warudi mjini wakauze midoli kwny supermaket za Manji
 
Wadau mapema sana tumefika uwanjani...hali ni ya Joto nadhan hali hii ni mbaya sana kwa Yanga hasa kwa kuwa wamezoea Baridi huko Uturuky na pia hawa bhanyambala naaambiwa huko kwao Jijin Mbeya kuna baridi sana....kwa hiyo hali si nzur kwa team zote. nmekaa sehemu maridadi kabisa niweze kuangalia pambano hili lenye upinzan mkubwa sana.sijafahamu kwa nini lakin week hii nzima limekuwa gumzo. hapa naona washabik wa MCC wanaingia kwa makundi na jersey za team yao. na pia nawaona Yanga mmoja mmoja wakiingia.
ninayewaletea Live update ni mimi mwanajamii mwenzenu Chizi Maarifa aka Mti Mkavuhauchimbwi Dawa. tutazidi kupashana habari za mchezo huu

pia iga mfumo wa makoye kuwa unatoa updates zaidi huku kwenye thtrad kuu..
 
Hii mechi napenda iishe kwa sare ya bila kufungana.
 
ndetichia huo si mtindo wa mtu...ni suala la kawaida na ndo huwa inafanywa hivyo na ndo maana hasa ya ku update..yaani you update the info or msg yu sent. hii ni thread ya wote na hata makoye hana haja ya kuanzisha nyingine... huyu makoye ni mjomba wangu maana nadhan anatoka Tabora au Mwanza/shinyanga. wasukuma ni wajomba.
 
kila la kheri wananchi,daima mbele nyuma mwiko.
 
Kikosi cha azam fc
Mwadini,
Erasto, Malika, Agrey, Morad,
Sure, Bolou, Himid, Kimwanga, Brian, & Kipre

Subs.
Aishi, Kevin, Popo, Jabir, Mcha, Gaudence & Luckson
 
Mbeya City ni hao waliovaa jezzy za Majilio, au Kwaresma.....
 
Na mi sichezi mbali leo...nataka nishuhudie Mbeya City akichezea kichapo kwa mara ya kwanza
 
Here's Young Africans line-up to face Mbeya City today:
1. Deogratias Munish "Dida" - 30 2. Mbuyu Twite - 6
3. Oscar Joshua - 4
4. Nadir Haroub "Cannavaro" - 23 5. Kelvin Yondani "Cotton" - 5
6. Frank Domayo "Chumvi" - 18
7. Saimon Msuva - 27
8. Haruna Niyonzima - 8
9. Didier Kavumbagu - 7
10. Mrisho Ngasa - 17
11. David Luhende - 3

Subs:
1. Juma Kaseja - 29
2. Juma Abdul - 12
3. Rajab Zahir - 14
4. Nizar Khalfan - 16
5. Said Bahanuzi - 11
6. Jerson Tegete - 10
7. Hamis Kiiza - 20
 
Back
Top Bottom