Balantanda JF-Expert Member Joined Jul 13, 2008 Posts 12,484 Reaction score 4,821 Apr 13, 2013 #121 Pamoja sana wana Yanga... Yanga; Daima mbeeele....Nyuma mwiko
ndetichia JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 27,769 Reaction score 6,585 Apr 13, 2013 #122 idawa said: mkuu ina maana matokeo yoyote ni poa kwa upande wetu. hata hivyo ningependa Azam afungwe, ila sipendi Simba ashinde.! Click to expand... utakufa aisee kwa mtazamo huo... simba kesho anapotea..
idawa said: mkuu ina maana matokeo yoyote ni poa kwa upande wetu. hata hivyo ningependa Azam afungwe, ila sipendi Simba ashinde.! Click to expand... utakufa aisee kwa mtazamo huo... simba kesho anapotea..
Makoye Matale JF-Expert Member Joined May 2, 2011 Posts 6,490 Reaction score 2,104 Apr 13, 2013 #123 Dak. 85 Yanga 3-0 JKT Oljoro.
ndetichia JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 27,769 Reaction score 6,585 Apr 13, 2013 #124 Makoye Matale said: Dak. 85 Yanga 3-0 JKT Oljoro. Click to expand... makoyee full kutoa macho sasa hv mmetoa hela ya maana..
Makoye Matale said: Dak. 85 Yanga 3-0 JKT Oljoro. Click to expand... makoyee full kutoa macho sasa hv mmetoa hela ya maana..
TIQO JF-Expert Member Joined Jan 8, 2011 Posts 13,786 Reaction score 2,102 Apr 13, 2013 #125 Kosa kosa nyingi mno
Katavi Platinum Member Joined Aug 31, 2009 Posts 42,099 Reaction score 12,920 Apr 13, 2013 #126 Leo yanga wamejitahidi kupata goli zaidi ya moja.
Zamaulid JF-Expert Member Joined May 25, 2009 Posts 19,955 Reaction score 16,006 Apr 13, 2013 #127 TIQO said: Kosa kosa nyingi mno Click to expand... kwa upande upi mkuu!!!
Zamaulid JF-Expert Member Joined May 25, 2009 Posts 19,955 Reaction score 16,006 Apr 13, 2013 #128 Katavi said: Leo yanga wamejitahidi kupata goli zaidi ya moja. Click to expand... umeona!!kalikuwa kamoja kamoja tu!
Katavi said: Leo yanga wamejitahidi kupata goli zaidi ya moja. Click to expand... umeona!!kalikuwa kamoja kamoja tu!
ndetichia JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 27,769 Reaction score 6,585 Apr 13, 2013 #129 Balantanda said: Pamoja sana wana Yanga... Yanga; Daima mbeeele....Nyuma mwiko Click to expand... habari yako mkuu habari za mrogoro bana..
Balantanda said: Pamoja sana wana Yanga... Yanga; Daima mbeeele....Nyuma mwiko Click to expand... habari yako mkuu habari za mrogoro bana..
Mpita Njia JF-Expert Member Joined Mar 3, 2008 Posts 6,999 Reaction score 1,187 Apr 13, 2013 #130 NGANU said: Weekend hii itabid nimkate kichwa jogoo kwa furaha ya leo.CHEZEA YANGA Click to expand... Mwe! Mhurumie kiumbe mwenzio jamani! Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
NGANU said: Weekend hii itabid nimkate kichwa jogoo kwa furaha ya leo.CHEZEA YANGA Click to expand... Mwe! Mhurumie kiumbe mwenzio jamani! Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Makoye Matale JF-Expert Member Joined May 2, 2011 Posts 6,490 Reaction score 2,104 Apr 13, 2013 #131 Added time: 5 minutes.
mluga JF-Expert Member Joined Oct 8, 2010 Posts 676 Reaction score 215 Apr 13, 2013 #132 Wakuu naomba mnifikishie salaam kwa St Ivunga, mwambie safari hii aje kavaa UPAPI tayari kwa kupakatwa ha ha ha ha
Wakuu naomba mnifikishie salaam kwa St Ivunga, mwambie safari hii aje kavaa UPAPI tayari kwa kupakatwa ha ha ha ha
Katavi Platinum Member Joined Aug 31, 2009 Posts 42,099 Reaction score 12,920 Apr 13, 2013 #133 ndetichia said: makoyee full kutoa macho sasa hv mmetoa hela ya maana.. Click to expand... leo wametoa mshiko wa maana kama ambao azam huwa wanatoa. Sijui kwa nini Rage anakuwa na mgumu wa kutoa hela..!
ndetichia said: makoyee full kutoa macho sasa hv mmetoa hela ya maana.. Click to expand... leo wametoa mshiko wa maana kama ambao azam huwa wanatoa. Sijui kwa nini Rage anakuwa na mgumu wa kutoa hela..!
NGANU JF-Expert Member Joined Oct 18, 2012 Posts 1,919 Reaction score 393 Apr 13, 2013 #134 Mkuu IDAWA mbona ulisema bora kushabikia timu yoyote lakini si SIMBA na MAN U kulikoni leo unataka simba ishinde?
Mkuu IDAWA mbona ulisema bora kushabikia timu yoyote lakini si SIMBA na MAN U kulikoni leo unataka simba ishinde?
ndetichia JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 27,769 Reaction score 6,585 Apr 13, 2013 #135 Katavi said: Leo yanga wamejitahidi kupata goli zaidi ya moja. Click to expand... chezea mahela ya kina bincleb mzee wakatafunua wewe..
Katavi said: Leo yanga wamejitahidi kupata goli zaidi ya moja. Click to expand... chezea mahela ya kina bincleb mzee wakatafunua wewe..
Katavi Platinum Member Joined Aug 31, 2009 Posts 42,099 Reaction score 12,920 Apr 13, 2013 #136 Zamaulid said: umeona!!kalikuwa kamoja kamoja tu! Click to expand... Mkwara nini? Nasikia mwenyekiti aliwaambia hafurahishwi na ushindi wa goli moja kila wakati.
Zamaulid said: umeona!!kalikuwa kamoja kamoja tu! Click to expand... Mkwara nini? Nasikia mwenyekiti aliwaambia hafurahishwi na ushindi wa goli moja kila wakati.
Makoye Matale JF-Expert Member Joined May 2, 2011 Posts 6,490 Reaction score 2,104 Apr 13, 2013 #137 Full time: Yanga 3-0 JKT Oljoro. Hongera Yanga kwa matokeo safi. Azam na Simba kazi ni kwao. Mwaka jana walipanga Simba awe bingwa, Azam wa pili, mwaka huu itakuwaje?
Full time: Yanga 3-0 JKT Oljoro. Hongera Yanga kwa matokeo safi. Azam na Simba kazi ni kwao. Mwaka jana walipanga Simba awe bingwa, Azam wa pili, mwaka huu itakuwaje?
ndetichia JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 27,769 Reaction score 6,585 Apr 13, 2013 #138 FC Bayern kaua 4 bila sio mchezoo..
Katavi Platinum Member Joined Aug 31, 2009 Posts 42,099 Reaction score 12,920 Apr 13, 2013 #139 mluga said: Wakuu naomba mnifikishie salaam kwa St Ivunga, mwambie safari hii aje kavaa UPAPI tayari kwa kupakatwa ha ha ha ha Click to expand... Hivi SI yupo? Long taim sijamtia machoni humu ndani.
mluga said: Wakuu naomba mnifikishie salaam kwa St Ivunga, mwambie safari hii aje kavaa UPAPI tayari kwa kupakatwa ha ha ha ha Click to expand... Hivi SI yupo? Long taim sijamtia machoni humu ndani.
N ndomyana JF-Expert Member Joined Jan 24, 2012 Posts 5,724 Reaction score 2,262 Apr 13, 2013 #140 Katavi said: leo wametoa mshiko wa maana kama ambao azam huwa wanatoa. Sijui kwa nini Rage anakuwa na mgumu wa kutoa hela..! Click to expand... kwaani hela ni majan kua utaokota maporini, maharage hana mia ko alie tuuuu
Katavi said: leo wametoa mshiko wa maana kama ambao azam huwa wanatoa. Sijui kwa nini Rage anakuwa na mgumu wa kutoa hela..! Click to expand... kwaani hela ni majan kua utaokota maporini, maharage hana mia ko alie tuuuu