YANGA Vs COASTAL UNION

Kuna watu wana mapenzi kweli...kuna jamaa kajipaka masizi, yupo kama kinyago cha Kimakonde hahah
 
Mkuu hadi midadi inapanda maana enzi zetu lile tulikua tunahesabu kama nusu goli....hahahah
ha ha ha ha!!ilikuwa enzi zipi mkuu!!!maana kuna zile enzi golikipa akifungwa goli la kupita kati ya miguu tulikuwa tuna hesabu mawili!!!
 
Hahaha....hivi Maji Marefu hadi kwenye fitna za mpira pia yumo??
Mi nilidhani ni speshalisti wa kukamata wanga tu...!!!
Hawa ni multi purpose mkuu, hata hiyo mkimfuata mbona anaifanya tena vizuri tu.
 
Coastal wamefanya mabadiliko...sijui yana tija au ndio kila mtu acheze.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…