Yanga vs Cercle de Joachim

Nyenyere

JF-Expert Member
Sep 9, 2010
14,780
10,710
Yanga wameifyatua Cercle ya Mauritius goli moja bila dakika ya 17 ikifungwa na Donald Ngoma. Mchezo umekwisha.
 
Kwa Jinsi Mlivyokuwa Mkijitutumua Mimi Nilijua Mmewafunga Labda Goli 10 au 13 Kumbe La Nguruwe Moja Tu? Wape Taarifa Hao Yanga Wako Kuwa MNYAMA MNYAMANI Kaunguruma Huko Shinyanga Huku Khamis Kiiza " Diego " Sasa Akiwa ANATAKATA Tu Baada Ya Leo Kutupia Mawili Na Akimuacha Amis Tambwe Kwa Magoli Ya Kufunga. Sasa Wanaume Leo Leo Usiku Wanaanza Safari Rasmi Ya Kurejea Dar Kisha Jumatatu Wanaenda Zao Zanzibar Kukuwekea Kambi Wewe Mwana Yanga Kwa AJILI YA KIPIGO NITAKACHOKUPA Tarehe 20 Mwezi Huu ( Yaani Jumamosi Ijayo ). Na Kwa Jinsi Nilivyo On Fire Sasa Nina Wasiwasi Naweza Kukufunga Wiki Ili Mumfukuze Kabisa Pluijm, Manji Na Muro. Simba Tupo KILELENI Sasa Na Kututoa Tena Hapo Labda Yesu Kristo Arudi Sasa!
 
Haya, yangu macho.
 
Sasa wakimataifa mkikutana na mazembe itakuwaje naanza kupata mashaka mlitakiwa kushinda 6 kuendelea
 
Kwa Jinsi Mlivyokuwa Mkijitutumua Mimi Nilijua Mmewafunga Labda Goli 10 au 13 Kumbe La Nguruwe Moja Tu? Wape Taarifa Hao Yanga Wako Kuwa MNYAMA MNYAMANI Kaunguruma Huko Shinyanga Huku Khamis Kiiza " Diego " Sasa Akiwa ANATAKATA Tu Baada Ya Leo Kutupia Mawili Na Akimuacha Amis Tambwe Kwa Magoli Ya Kufunga. Sasa Wanaume Leo Leo Usiku Wanaanza Safari Rasmi Ya Kurejea Dar Kisha Jumatatu Wanaenda Zao Zanzibar Kukuwekea Kambi Wewe Mwana Yanga Kwa AJILI YA KIPIGO NITAKACHOKUPA Tarehe 20 Mwezi Huu ( Yaani Jumamosi Ijayo ). Na Kwa Jinsi Nilivyo On Fire Sasa Nina Wasiwasi Naweza Kukufunga Wiki Ili Mumfukuze Kabisa Pluijm, Manji Na Muro. Simba Tupo KILELENI Sasa Na Kututoa Tena Hapo Labda Yesu Kristo Arudi Sasa!
Baada ya miaka mitano....leo ndio unagusa kilele......subirini wanaume waje.
 
BAO pekee la dakika ya 17 ya mchezo wa leo mjini Curepipe, Mauritius lililofungwa na Mzimbabwe Donald Ngoma dhidi ya limeisafishia tu Yanga njia dhidi ya Cercle de Joachim kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika, lakini bado halijawapa uhakika wa kufanya vizuri kwenye mashindano ya mwaka huu.
Matokeo ya mchezo huo wa kwanza, ambao dhahiri ulikuwa wa ushindani mkubwa kutokana na soka la kasi linalochezwa na mabingwa hao wa Mauritius, hayatoi nuru ya kutosha kwa vijana wa Jangwani ambao wamekuwa na rekodi ya kuzionea timu kutoka Visiwa vya Bahari ya Hindi hususan Mauritius, Comoro na Shelisheli.
Faraja pekee inayoweza kuelezwa na wadau wa soka ni kwamba, timu hiyo ilikuwa inacheza ugenini, hivyo inayo nafasi ya kutosha kujirekebisha na kufanya vizuri kwenye mchezo wa marudiano utakaofanyika Februari 27, 2016 jijini Dar es Salaam.
Hata hivyo, kwa mwenendo ilionao timu hiyo, hata kama itavuka hatua hiyo ya awali, inaweza kurudia raundi ya pili, tena Kigali, mbele ya APR.
SOMA ZAIDI...
 
Attachments

  • upload_2016-2-13_22-29-17.gif
    upload_2016-2-13_22-29-17.gif
    43 bytes · Views: 48
simba bana ni kama asernal yaweza kuongoza weee lakini ubingwa ni ndoto
Simba haina rekodi ya kuongoza na kisha ubingwa ukaja kuchukuliwa na team nyingine...nakumbukabkuna mwaka simba ilikuwa nafasi ya tatu lakini round ya mwisho yanga na mtibwa wakapigwa na simba tukashinda na kuchukua kombe...
 
Back
Top Bottom