CPU
JF-Expert Member
- Jan 13, 2011
- 3,863
- 686
Mpira umeisha Yanga 3 African Lyon 1
Kwa matokeo haya ni kwamba Simba wana ponti sawa na Yanga ila yanga anaongoza kwa goal difference ya 1(Simba kafunga magoli 36 na kafungwa magoli 15,goal difference ni 36-15=21,Yanga wamefunga magoli 29 na wamefungwa magoli 07,goal difference ni 29-07=22).Hivyo tofauti ya magoli ni 22-21=01
Bingwa ataamuliwa katika mechi za mwisho ambapo Simba itacheza na Majimaji na Yanga itacheza na Toto Africans
Mkuu
Ngoja nikusahihishe
Kabla ya mechi za jana na leo za Simba vs JKT na Yanga vs A.Lyon
Yanga wamefunga magoli 26 na kufungwa 6
Simba kafunga 35 kafungwa 15
Na kanuni zipo hivi
Kama timu zikifungana point basi kwanza kabisa itaangaliwa goal difference. Zikifanana basi itafuata ni sheria ya nani ana matokeo mazuri baina ya hizo timu mbili zilipocheza. Baada ya hapo then ndio wanaangalia nani ana magoli mengi ya kufunga