Hakuna Hata y'a kufurahi kwa Kuwa Yanga kapangwa n'a hii timu, kikubwa ni kuuandaa kikamilifu Kabla ya kuwavaa wapinzani wetu. Kumbuka kila timu iliyofika hata hii si y'a kubeza Hata kidogo, Tusubiri kushangilia baada ya mechi y'a marudiano tukiwa tumefuzu makundi vinginevyo mambo yatakuwa yale yale y'a Wabotswana.Awa jamaa wamewatowa Zamaleik ya Egpty