Yanga yaingia top 5 ya tuzo za club Africa CAF

Labani og

JF-Expert Member
Sep 15, 2020
15,777
24,211
𝐓𝐎𝐏 𝟓

Baada ya mchujo kutoka 10 bora, Young Africans SC rasmi tumeingia 5 Bora kwenye Tuzo za Klabu Bora ya Mwaka Barani Afrika #cafawards2023
#timuyawananchi
#daimambelenyumamwiko🟢🟡

Timu zilizopenya hatua ngumu ya Tano Bora 5 ( no ambayo makolo wanakimbia)

1.Mamelodi sundown
2. Al ahly
3. Wydad Casablanca
4. Young Africa
5. USM Alger
NB Maendeleo hayana Chama
1700221073597.jpg
 
Kwa upande wa timu za taifa tumetoka

KUTOKA CAF LEO HII!!

Tano Bora ya timu za Taifa:

Gambia
Senegal
Mauritania
Morocco
E. Guinea

Tanzania tumetoka

Tano Bora ya Magolikipa
El Shenawy
Andre Onana
Yassine Bounou
Ronwen Williams
Edouard Mendy

Djigui Diarra ametoka.

#CAFAwards2023
#FutbalPlanetUpdates
 
𝐓𝐎𝐏 𝟓

Baada ya mchujo kutoka 10 bora, Young Africans SC rasmi tumeingia 5 Bora kwenye Tuzo za Klabu Bora ya Mwaka Barani Afrika #cafawards2023
#timuyawananchi
#daimambelenyumamwiko🟢🟡

Timu zilizopenya hatua ngumu ya Tano Bora 5 ( no ambayo makolo wanakimbia)

1.Mamelodi sundown
2. Al ahly
3. Wydad Casablanca
4. Young Africa
5. USM Alger
NB Maendeleo hayana Chama View attachment 2816505
Mpaka itabaki Yanga
 
Back
Top Bottom