Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 76,359 Reaction score 108,499 Mar 16, 2013 #81 Dk 31 Kiiza anakosa tena goli hapa....akiwa kabaki yeye na Ben Haule
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 76,359 Reaction score 108,499 Mar 16, 2013 #82 kamtu33 said: Asante mkuu watu8 yaani ni kama niko uwanjani! Click to expand... Pamoja sana mkuu... Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Jackbauer JF-Expert Member Joined Oct 28, 2010 Posts 6,068 Reaction score 2,225 Mar 16, 2013 #83 yanga daima!
yahoo JF-Expert Member Joined Sep 9, 2011 Posts 3,526 Reaction score 1,410 Mar 16, 2013 #84 Wazee wa uamsho leo hawpo sana hapa,sijui wanapanga mapinduzi hapo kesho!
Kitoabu JF-Expert Member Joined Jul 7, 2011 Posts 11,079 Reaction score 12,319 Mar 16, 2013 #85 Jackbauer said: yanga daima! Click to expand... Mbona sauti yako iko chini sana
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 76,359 Reaction score 108,499 Mar 16, 2013 #86 Dk 35 Kipindi cha pili Yanga wanafanya mabadiliko. Nizar Khalfan anatoka, anaingia Didier Kavumbagu. Nizar alikuwa kaumia hapo kabla...
Dk 35 Kipindi cha pili Yanga wanafanya mabadiliko. Nizar Khalfan anatoka, anaingia Didier Kavumbagu. Nizar alikuwa kaumia hapo kabla...
Makoye Matale JF-Expert Member Joined May 2, 2011 Posts 6,490 Reaction score 2,104 Mar 16, 2013 #87 Kitoabu said: Nimesema mkishinda, hapo munaongoza, au hujui maana ya kushinda? Kwakua munaongoza ngoja niwakojoleeni Click to expand... Wewe kunya tu, tunasubiri kipienga cha mwisho, matokeo ndiyo hayo, vingenevyo watapigwa jingine. Suala la kunya juu ya huwezi kulikwepa.
Kitoabu said: Nimesema mkishinda, hapo munaongoza, au hujui maana ya kushinda? Kwakua munaongoza ngoja niwakojoleeni Click to expand... Wewe kunya tu, tunasubiri kipienga cha mwisho, matokeo ndiyo hayo, vingenevyo watapigwa jingine. Suala la kunya juu ya huwezi kulikwepa.
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 76,359 Reaction score 108,499 Mar 16, 2013 #88 Naona hapa uwanjani mashabiki wanakaanga chips.... Yanga wanashindwa kutumia nafasi nyingine kuwainua vitini.
Naona hapa uwanjani mashabiki wanakaanga chips.... Yanga wanashindwa kutumia nafasi nyingine kuwainua vitini.
NGANU JF-Expert Member Joined Oct 18, 2012 Posts 1,919 Reaction score 393 Mar 16, 2013 #89 watu8 said: Pamoja sana mkuu... Click to expand... Asante sana mkuu na endelea kutujuza mpaka mwisho wa ili game.
watu8 said: Pamoja sana mkuu... Click to expand... Asante sana mkuu na endelea kutujuza mpaka mwisho wa ili game.
Kitoabu JF-Expert Member Joined Jul 7, 2011 Posts 11,079 Reaction score 12,319 Mar 16, 2013 #90 watu8 said: Naona hapa uwanjani mashabiki wanakaanga chips.... Yanga wanashindwa kutumia nafasi nyingine kuwainua vitini. Click to expand... Ndipo uwezo wao ulipo ishia hapooo! Ngoja wajeda wawa jedueni
watu8 said: Naona hapa uwanjani mashabiki wanakaanga chips.... Yanga wanashindwa kutumia nafasi nyingine kuwainua vitini. Click to expand... Ndipo uwezo wao ulipo ishia hapooo! Ngoja wajeda wawa jedueni
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 76,359 Reaction score 108,499 Mar 16, 2013 #91 Hawa Ruvu naona wanataka kuharibu sherehe dakika za lala salama hizi. Cannavaro yupo chini anagalauka baada ya kubabuliwa mpira wa kwenye kile kiungo kilicho mnanilihuu Simba SC
Hawa Ruvu naona wanataka kuharibu sherehe dakika za lala salama hizi. Cannavaro yupo chini anagalauka baada ya kubabuliwa mpira wa kwenye kile kiungo kilicho mnanilihuu Simba SC
ndetichia JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 27,769 Reaction score 6,585 Mar 16, 2013 #92 bado dk ngapi maana mnashangilia sana kwani ngapi ngapi..
NGANU JF-Expert Member Joined Oct 18, 2012 Posts 1,919 Reaction score 393 Mar 16, 2013 #93 Jackbauer said: yanga daima! Click to expand... Mbele NYUMA mwiko.
ndetichia JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 27,769 Reaction score 6,585 Mar 16, 2013 #94 watu8 said: Hawa Ruvu naona wanataka kuharibu sherehe dakika za lala salama hizi. Cannavaro yupo chini anagalauka baada ya kubabuliwa mpira wa kwenye kile kiungo kilicho mnanilihuu Simba SC Click to expand... mmmhhhhhh.....
watu8 said: Hawa Ruvu naona wanataka kuharibu sherehe dakika za lala salama hizi. Cannavaro yupo chini anagalauka baada ya kubabuliwa mpira wa kwenye kile kiungo kilicho mnanilihuu Simba SC Click to expand... mmmhhhhhh.....
S Sangomwile JF-Expert Member Joined Aug 17, 2012 Posts 3,227 Reaction score 1,104 Mar 16, 2013 #95 Dk 42 Yanga 1 Ruvu 0
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 76,359 Reaction score 108,499 Mar 16, 2013 #96 ndetichia said: bado dk ngapi maana mnashangilia sana kwani ngapi ngapi.. Click to expand... Dk 43 kipindi cha pili Yanga 1 - 0 Ruvu Cannavaro karudi uwanjani....
ndetichia said: bado dk ngapi maana mnashangilia sana kwani ngapi ngapi.. Click to expand... Dk 43 kipindi cha pili Yanga 1 - 0 Ruvu Cannavaro karudi uwanjani....
T twende kazi JF-Expert Member Joined Apr 3, 2012 Posts 1,520 Reaction score 461 Mar 16, 2013 #97 wacha niminye pumb..hapa..!yanga daima
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 76,359 Reaction score 108,499 Mar 16, 2013 #98 ndetichia said: mmmhhhhhh..... Click to expand... mbona watoa mguno... Ruvu wanapata kona...wanakosa
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 76,359 Reaction score 108,499 Mar 16, 2013 #99 Kitoabu said: Ndipo uwezo wao ulipo ishia hapooo! Ngoja wajeda wawa jedueni Click to expand... Ni dakika za nyongeza sasa... Yanga wanapata kona....wanakosa inaokolewa
Kitoabu said: Ndipo uwezo wao ulipo ishia hapooo! Ngoja wajeda wawa jedueni Click to expand... Ni dakika za nyongeza sasa... Yanga wanapata kona....wanakosa inaokolewa
kamtu33 JF-Expert Member Joined Mar 15, 2012 Posts 998 Reaction score 409 Mar 16, 2013 #100 Mpira umekwshaaaaaaa