Yanga sc Vs Ruvu shootings

Duh....yanga wanazidi kujiweka kileleni.
 
Cannavaro anakosa goli hapa...baada ya kona kupigwa na Yanga...
 
wakuu mbona hawa tff wanachelewa kuleta kombe le2 inamaa kuona hawaoni hata kuckia pia aaaaaaah! watan au nyie ndo..........
 
Naona goli la kuongoza limekuchanganya mpaka kiswahili kimegoma.

Kaka simu za ku-touch hizi na ukiwa na madole makubwa kama yangu basi inakuwa tabu tupu
 
updates pls wengine tumenunua komputer kabla ya redio wla tv
 
Yanga wanamiliki mpira na wanacheza taratibu pasipo na presha...
 
Dk 28 Kipindi cha pili.
Yanga 1 - 0 Ruvu
 
Nimesema mkishinda, hapo munaongoza, au hujui maana ya kushinda? Kwakua munaongoza ngoja niwakojoleeni
unajua kwann lage amepasuliwa mgongo? chezea libolo ww
 
Mbona kimyaaaa? Au ndio ileeee "yanga kainama, Rs kamtia dole"
 
Dk 30

Kichwa kinachopigwa na.Nizar Khalfan kinapita pembeni kidogo ya mtambaa wa panya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…