Yanga Sc Twendeni Tukacheze Derby

Nataka nisitaki kama mademu
Mara hatuchezi mara tukacheze nyie msilete timu uwanjani muone ndomu 3
Tulia. Uwanjani tunakuja na tunacheza ili kuwakomoa hampati point za mezani mpate ubingwa. Tunapiga pale walipopiga Berkane.
 
Simba tutakutana kwenye CRDB fainal atapata stahiki yake.
Kule NBC wapewe tu kombe lakini Tff na bodi watapata stahiki yao kulingana na uovu wao.
 
HATUCHEZI
 
Simba wanaingiaje kwenye maamuzi yenu? Yaani muamue wenyewe kuwa hamchezi, mjiapize kwa miungu yote kuwa hamchezi, mchapishe T-shirt wenyewe zilizoandikwa hamchezi, halafu leo uje useme eti Simba wanatamani msicheze?

Wewe sema neno hili tu; kwamba haukubaliani na viongozi wenu katika suala la kutocheza. Usiwasingizie Simba, uwe wazi tu kwamba haukubaliani na Hersi, Arafat, Ali Kamwe, Mwigulu, kocha wenu na wenzao wote waliojitokeza hadharani na kutamka kuwa HAMCHEZI. Usione aibu kuwakosoa, hautafukuzwa uanachama
 
Tulia. Uwanjani tunakuja na tunacheza ili kuwakomoa hampati point za mezani mpate ubingwa. Tunapiga pale walipopiga Berkane.
Mkija uwanjani itakuwa ni furaha yetu, ya Bodi na ya TFF ambao wote tulishasema MTACHEZA
 
Hakuna ushindi wa mezani
Mkileta timu mtapigwa tu
Msipoleta pointi 3 za Mnyama

Chagueni kipi kinawafaa😎😎
 
Mtacheza tu mburula nyie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…