Kwa ajili ya nini, ujio wa Pitso Mosimane?Mashabiki wengi wa simba wanapitia maumivu makali sana kwenye mioyo yao.
Uyu mbona kama Crazy GK?Wanatakaa kucheza fainali CAF, Viongozi wao wamewaletea striker kutoka Ligi ya "RWANDA"
Nimekumbuka Sarpong.View attachment 2661156