Yanga pamoja na kuwa hoi kifedha itafanya vizuri kuliko Simba ambao wako vizuri kiuchumi lakini wamewekeza katika majigambo na kejeli zaidi

Mtoto Wa kiume sio poa kutumia maneno ya kike kama uwiii watoto Wa kiume tuna maneno yetu kama oi, wozah, worap,
Jamaa, katika kutafuta shahada yangu ya kiswahili sijawahi kutana na lugha ya kike, kwa maana hiyo huwa simpi mtu nafasi ya kunichagulia lugha na maneno ya kuzungumza mimi sio boya, rudi kidato cha pili ukasome matumizi ya lugha. Usikurupuke katika lugha hapa utasizi
 
fact
 
Mkuu siyo kusiz wala kusanda bas yatumie na haya ili tukuzoee tu kuwa mwenzetu siyo ridhiki kama Jomonii, mixeew, nakojoa, waooooo
 
Back
Top Bottom