Yanga Omary ahukumiwa kwenda jela miaka 30 kwa kuuza dawa za kulevya

Kuna kijana fulani alikuwa akipewa madawa na huyo bwana auze..

Huyo jamaa ndy aliyekuwa anatumika kutengeneza madawa feki ili yabadilishwe na vithibiti halisi vilivyopo store vya watuhumiwa..

Pia huyo kijana ndy aliyekuwa anatumika kuwataja watu wengi wliokimbia south Africa..

Hata haya madawa yanayokamatwa na kuchomwa.

--Hivi kuna mtu amewahi kujiuliza yale madawa yanayochomwa kila kukicha kuna mwenye uhakika yale ni madawa kweli?au unga wa mahindi?


Nadhani hyo itatosha kukupa Mwanga fulani..
Yeah kamwanga kapo Ila ujamwagika kwa kukata kiu vp na siang'aa naona katolewa kimya kimya au n wenge langu tuu mkuu
 
Alafu najiulizaga why wakikamata madawa ya kulevya kuyapima mpaka wayapeleke kwa mkemia mkuu,wakati wenzetu ulaya palepale kuna kemikali zipo kwenye vichupa vidogo vikichanganywa tu vikibadilika vikiwa rangi ya blue ujue haya madawa sisi huku mlolongo mrefu.

Ndipo hapo wajanja kupitia mlolongo huu wanapiga hela.
Hakika Mkuu,, sometimes najiuliza hizi kesi za madawa na ushahidi haujakamilika ,,
Utakuta kesi inachukuwa miaka 10 bado ushahidi haujakamilika
Hivi tatizo nn?
Wakati kupima madawa ni dk 5 tu...
 
Yeah kamwanga kapo Ila ujamwagika kwa kukata kiu vp na siang'aa naona katolewa kimya kimya au n wenge langu tuu mkuu
Yeah Rogers Sianga sijui kastaafu, maana tulianza kuona Kaji anakaimu nafasi ya ukamishna mkuu baadaye ndio mkuu akamteua rasmi kuchukua nafasi ya Sianga.
 
Ni mfanyabiashara maarufu Jijini Tanga aendaye kwa jina la Yanga Omary Tanga Almaarufu Rais wa Yanga

Ametiwa hatiani kwa kukutwa na Heroin gramu 1,052

Mkewe na Msichana wa kazi wameachiwa na Mahakama kwa kukosekana Ushahidi

Jaji Imakulata Banzi wa Mahakama Kuu Kitengo cha Wahujumu Uchumi ameagiza madawa hayo yachomwe moto mara moja

Aagiza pia mali za mshitakiwa huyo aliyetiwa hatiani ikiwemo gari la kifahari aina ya V8 pamoja na Silaha moja virejeshwe kwa familia yake.


View attachment 1630935

Ustaadh fulani hivi. Kumbe Geresha tu
 
enzi zile mwanamziki mwinjuma muumini yupo kwenye prime time, alikuwa analitaja sana jina la huyu jamaa kwenye nyimbo zake.

Siku hizi Muumini Kocha wa duniani anaomba, Kibakwe, Kibaigwa na chocho nyingine huko duniani
 
Hivi hao matapeli wa madini bado wapo maana wakongo wengi ndio shughuli zao hapa mjini.
Wengi wapigaji wamekimbilia kwa mu7
Bongo dhahabu utamtapeli nani sahv wkt biashara iko wazi ...mwenye mzigo na mwenye hela mnakwenda wizarani mnawekwa mezani mnafanya biashara hku serikali inasubiria kodi yke...ukitaka shortcut ndy utapigwa na Ukienda kulalamika utaambiwa kwani taratibu hujazijua

Ova
 
Back
Top Bottom