Yanga Omary ahukumiwa kwenda jela miaka 30 kwa kuuza dawa za kulevya

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Mar 8, 2020
2,205
4,695
Ni mfanyabiashara maarufu Jijini Tanga aendaye kwa jina la Yanga Omary Tanga Almaarufu Rais wa Yanga

Ametiwa hatiani kwa kukutwa na Heroin gramu 1,052

Mkewe na Msichana wa kazi wameachiwa na Mahakama kwa kukosekana Ushahidi

Jaji Imakulata Banzi wa Mahakama Kuu Kitengo cha Wahujumu Uchumi ameagiza madawa hayo yachomwe moto mara moja

Aagiza pia mali za mshitakiwa huyo aliyetiwa hatiani ikiwemo gari la kifahari aina ya V8 pamoja na Silaha moja virejeshwe kwa familia yake.


FB_IMG_16058947551107985.jpg
 
Duuuh kipindi nahamia Tanga miaka kama mi 4 nyuma...nikiwa matembezi nilionyeshwa nyumba ya Yanga Omary naambiwa alikua na jeuri ya kubadilisha tiles za nyumba kila baada ya muda fulani na furniture na mazaga zaga ya ndani anagawa; ana eneo kubwa karibia na beach Tanga.
 
Ni mfanyabiashara maarufu Jijini Tanga aendaye kwa jina la Yanga Omary

Ametiwa hatiani kwa kukutwa na Heroin gramu 1,052

Mkewe na Msichana wa kazi wameachiwa na Mahakama kwa kukosekana Ushahidi

Jaji Imakulata aagiza madawa hayo yachomwe moto mara moja

Aagiza pia mali za mshitakiwa aliyetiwa hatiani ikiwemo gari la kifahari aina ya V8 lirudishwe kwa familia!
Hilo gari liuzwe lisaidie kutunza familia
 
Duuuh kipindi nahamia Tanga miaka kama mi 4 nyuma...nikiwa matembezi nilionyeshwa nyumba ya Yanga Omary naambiwa alikua na jeuri ya kubadilisha tiles za nyumba kila baada ya muda fulani na furniture na mazaga zaga ya ndani anagawa....ana eneo kubwa karibia na beach Tanga

Sent from my SM-G955F using JamiiForums mobile app
Ndio zake huyu ana nyumba yake iko ufukwen beach mwambani tanga kaajir mafund kabisa kila siku anajenga na kubomoa huyu mdigo ni tajir jeur
 
Back
Top Bottom