Saguda47
JF-Expert Member
- May 1, 2016
- 11,771
- 22,067
Sikumbuki timu aliyotokaWamemtoa wapi huyo
Sikumbuki timu aliyotokaWamemtoa wapi huyo
𝒌𝒂𝒕𝒐𝒌𝒂 𝒑𝒐𝒍𝒊𝒄𝒆 𝑻𝒂𝒏𝒛𝒂𝒏𝒊𝒂Wamemtoa wapi huyo
𝑼𝒋𝒂𝒎𝒖𝒐𝒏𝒂 𝑻𝒌 𝒎𝒂𝒔𝒕𝒆𝒓?Yanga wamesajili magalasa na kuacha wachezaji wa maana wa msimu uliopita.
Simba yenyewe msimu mzima ulioisha na kikosi chake kipana, alishindwa kuifunga Prison, sembuse Yanga.
Wewe wa netball tuambie basi.Kuhusu mpira hujui kitu, unaweza kujaribu kwenye taarabu utatoka.