Mkuu watu8 hizo ni porojo tu simba na yanga ndio alfa na omega kwa soka la kibongo.. ila kuna mapungufu kidogo ila hiyo deb kila nchi ipo anzia engla kuna man u na liva, nenda hispania kuna barca na madrid, kule italy kuna ac na inter, kote karibu lazma kuwe na utani bwana , sema masimba na mayanga tunapaswa kujipanga.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.