Yanga inatarajia kuleta katibu mpya mkenya.mimi binafsi siungi mkono hapa makamu mwenyekiti clement sanga umechemka na unaendeleza sera ya kutukuza wageni. Hapo kwanza tayari tunapunguza ajira ya mtanzania na pia tunaendeleza ile dhana kuwa wakenya wanaweza kuliko sisi
Pia huyo katibu mpya sio mwanachama wa yanga(hana kadi)
Katibu mwenyewe anashutuma kibao za uwizi alipokuwa kiongozi chama cha mpira wa kenya
Sio mbaya, mbona mwenyekiti wameoutsource kutoka nje ya bara kabisa, kwa hiyo katibu mkuu akitoka nchi jirani poa tu, na TFF wasingeweka sheria ya wachezaji watano nadhani timu nzima ingekuwa na wageni, kuna kipindi walikuwa na wachezaji kumi wa kigeni.
Ni kweli hata Simba wanaye Al-Shaabab ambaye kanyea ndoo muda mrefu gerezani kwa wizi katika FAT, nadhani Yanga tuko sawa.
teh, teh, teh! unamaanisha mzee wa mapisto? hivi hawezi kutafuta wataalamu wakamsaidia ku-format historia yake angalau kile kipande cha wizi uliomfanya awe mgeni wa serikale? Akifa bila ku-format historia itasomeka "marehemu .......ge alifungwa jela kwa kosa la wizi kabla ya kuwa mwenyekiti wa Simba..."
Yanga =Vilaza
Yanga =Vilaza
Yanga =Vilaza
wivu
subiri tuone matunda