Yanga mliolipiwa mnakalia wapi?

Kipenzi Changu

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
59,177
Reaction score
138,455
Ndio nimefika Dar jana. Asubuhi nikafika vijiweni vya soka na kagawa. Nataka kujua kina nani wamelipiwa. Kila mwana Yanga ukimuuliza kama amelipiwa anasema yakhee niombe radhi mimi siwezi kulipiwa.

Inaonekana kulipiwa kuna shida, kwa nini waliokwisha lipiwa wajifiche. Au kuna masharti mmepewa ili mlipiwe?

Humu JF kuna wana Yanga kibao. Nataka kuwatambua vijana ambao mshalipiwaaaaawa 😀😀😀😀
Ili siku nyingine kama kuna mtu anataka kuwalipia tuwape connection
 
Kumbuka usemi wa JK,ukitaka kula na wewe kubali kuliwa,au kizaramo tunasema there is no free lunch.
 
Ndio nikafika Dar jana hiki kiswahili cha Burundi hiki ngoja niendelee kuangalia makabrasha ya Wahasibu hapa...
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…