Babumawe
JF-Expert Member
- Sep 12, 2014
- 2,556
- 2,560
Habari ndugu zangu,
Leo kama ilivokawaida mzunguko wa nne wa ligi unaendelea kurindima katika viwanja tofauti, kubwa zaidi mechi yenye attention kubwa ni kati ya simba na Gwambina. Mimi kama mshabiki wa Yanga ambaye tangia ligi inaanza ni mmoja ya watu ambao hatujaridhishwa na performance ya timu yetu ukilinganisha na wapinzani wetu.
Sasa imefika wakati tuache ushabiki maandazi na tuweke aibu pembeni sasa tuangalie wenzetu wanavyocheza ili tuweze kujifunza na kuangalia sehemu ambayo tunakosea, hii itaweza kuimprove timu yetu technically mapema kabla mizunguko haijafika mbali.
Wapendwa mpira ni urafiki wala sio uadui penye kujifunza tujifunze mwisho wa siku tunaoumia sisi. Hongereni wapinzani wetu tuna cha kujifunza kutoka kwenu na leo pia tutakuwa kideoni kutazama natumai kuna vitu vipya mtatuletea.
AHSANTENI