Gordian Anduru
JF-Expert Member
- Apr 16, 2021
- 400
- 811
YANGA MSIMU HUU WA CACL huenda akaanzia hatua ya awali Msimu huu. MSIMU uliopita Orlando Pirates na Pyramid walianzia hatua ya awali lakini Orlando akafika nusu fainali na Pyramid akachukua ubingwa
SIMBA huenda akaanzia round ya pili MSIMU huu
MSIMU ULIOPITA PETRO de Luanda TP MAZEMBE na Esperance de tunis hawakuanzia round ya kwanza walianzia round ya pili
Hata hivyo
PETRO DE LUANDA hata group stage hakuingia alitolewa second round na Maniema
TP MAZEMBE akaishia group stage alikuwa kundi la Yanga
Esperance de tunis akaishia robo
Kwa kifupi Bingwa hakutokana na hizo timu Tano zinazojiita jayanti