[h=2]Yanga kushney, kwaheri Tom![/h]Ulimaanisha yanga nini eti? umeona matokeo yake? acha kukurupuka dogo tumia akili kufikiri kabla ya kupost utumbo wako humu.yanga wamemfukuza kocha Tom, hivi kitendo cha yanga kufungwa 3 na mtibwa ndo mumfukuze kocha?.mbona alivyowapa kagame mlimfurahia sana.haya sasa Manji kaanza na Tom,atafuata twite na yondani ajiandae.
Sasa unaniletea habari za marehemu...Yanga ni mashoga ndiyo mana mmemtimua kocha baada ya kubani licha ya kuwa anavipini puani na masikioni pia anashanga na alishinikiza alala na Sendeu hivyo sendeu na aliyetaka wote fukuza...angalau mmepata ushindi mtakuwa mnaonekana hapa jukwaani lakini kuanzia tarehe 3.10.12 mtapotea tena...lolTimu pekee iliyowahi kukumbwa na kashfa ya ushoga Tanzania ni Simba dogo.....
Unamfahamu mtu anaitwa Thomas Karume?.........
Kwa habari zaidi muulize Julio.........Angekuwepo marehemu Mansour Magram angekupa mkanda mzima.......
Yanga 4-1 JKT Ruvu
Ushindi wa kununua unajivunia wewe ulitegemea yanga wafungwe baada ya kufukuza Katibu, Msemaji na kocha, nani angetakiwa kuondoka baada ya kufungwa na JKT RUVU...Yanga kushney, kwaheri Tom!
Ulimaanisha yanga nini eti? umeona matokeo yake? acha kukurupuka dogo tumia akili kufikiri kabla ya kupost utumbo wako humu.
Timu pekee yenye kashfa ya ushoga Tanzania ni Simba bana..........Period.......Thomas Karume unamjua wewe?.......Mtafute Julio umuulize atakupa mkanda mzima(umuulize ukiwa mbali nae lakini,usije ukapigwa ngumi).....Sasa unaniletea habari za marehemu...Yanga ni mashoga ndiyo mana mmemtimua kocha baada ya kubani licha ya kuwa anavipini puani na masikioni pia anashanga na alishinikiza alala na Sendeu hivyo sendeu na aliyetaka wote fukuza...angalau mmepata ushindi mtakuwa mnaonekana hapa jukwaani lakini kuanzia tarehe 3.10.12 mtapotea tena...lol
Vipi nyie pia mlinunua mechi mlivyoshinda 2-0 kwa JKT?.......Ushindi wa kununua unajivunia wewe ulitegemea yanga wafungwe baada ya kufukuza Katibu, Msemaji na kocha, nani angetakiwa kuondoka baada ya kufungwa na JKT RUVU...
Nyie mashabiki wa SIMBA hivi haya matapishi mnayatoaga wapi?Sasa unaniletea habari za marehemu...Yanga ni mashoga ndiyo mana mmemtimua kocha baada ya kubani licha ya kuwa anavipini puani na masikioni pia anashanga na alishinikiza alala na Sendeu hivyo sendeu na aliyetaka wote fukuza...angalau mmepata ushindi mtakuwa mnaonekana hapa jukwaani lakini kuanzia tarehe 3.10.12 mtapotea tena...lol
Msomali wetu anatupaga!Nyie mashabiki wa SIMBA hivi haya matapishi mnayatoaga wapi?
Nyie mashabiki wa SIMBA hivi haya matapishi mnayatoaga wapi?
Kwa Yanga hiyo siyo ya kuifunga Ruvu JKT...ile saizi yake ni kama IPP Media FC, uhuru FC au wasubwi...Vipi nyie pia mlinunua mechi mlivyoshinda 2-0 kwa JKT?.......
Tatizo lako dogo una ushabiki wa kijinga/maandazi.......Utakufa na roho mbaya yako ya kutaka Yanga ifungwe kila siku........
Too low......Kwa Yanga hiyo siyo ya kuifunga Ruvu JKT...ile saizi yake ni kama IPP Media FC, uhuru FC au wasubwi...
Utajua mwenyewe hiyo tarehe ikifika maana Magazetini FC mmezoea mchezo mchafu na Okwi mnaona ni sumu kwenu ila nakuomba usiwe unapoteza nguvu nyingi kubishana na mimi kwenye soka maana naona unatoa mapovu kweli kweli mpaka na matusi....Yanga kiwango chenu kidogo sana huwezi kukifananisha na cha Simba labda mmetuzidi kwenye fedha chafu kama za EPA.....Too low......
Nasikia tarehe 3/10 mmegoma kuingiza timu uwanjani mpaka kadi nyekundu ya OKWI ifutwe......Ni ya kweli hayo?
Mtani chonga sana ila kipigo chako kipo pale palewamo katibu,msemaji, mtunza fedha bado manji tukiwafunga hiyo tarehe 3.10..
Lol.....Utajua mwenyewe hiyo tarehe ikifika maana Magazetini FC mmezoea mchezo mchafu na Okwi mnaona ni sumu kwenu ila nakuomba usiwe unapoteza nguvu nyingi kubishana na mimi kwenye soka maana naona unatoa mapovu kweli kweli mpaka na matusi....Yanga kiwango chenu kidogo sana huwezi kukifananisha na cha Simba labda mmetuzidi kwenye fedha chafu kama za EPA.....
Acha kubwabwaja kama mama wa kiswahili, tuwekee ushahidi alivyo mpiga huyo mchezaji vinginevyo funga mdomo lako.... kwa hiyo Magazetini FC mlimchagua Fisadi manji kulipiza kisasi kwa kuwa simba tulimchagua mwenyekiti mnae dai aliiba pesa za FAT/TFF....Lol.....
Sio kosa lako.......Ni kosa la Rage anayekuharibu wewe......
Binafsi siwezi kubishana na wewe when it comes to soccer........Labda kwenye siasa za matusi/maji taka ndio utanitoa knock out, si kwingineko....
Halfu.........Mbona sibishani na wewe aisee........Kubishana na wewe ni sawa na kubishana na tapeli Rage,mzee wa mguu wa kuku ambaye alifungwa jela sababu ya wizi wa mamilioni ya FAT.......Tapeli aliyekubuhu ambaye amewadanganya wajinga wenzio kuwa atawaanzishia Simba TV......Uwanja wa kituruki......Mkataba wa Yanga na Yondan ni toilet paper......Katafuna fedha za rambirambi za msiba wa hayati Mafisango.......Kawadanganya kumsainisha Mbuyu Twite.......N.k...
OKWI alipewa red ya kujitakia kwa kumpiga kiwiko Kessy Mapande wa JKT Ruvu na si mchezo mchafu wala nini, halafu bado anasubiriwa mahakamani kwa kumpiga na chupa ya maji shabiki mlemavu wa Yanga baada ya kutolewa kwa kadi nyekundu....
Nyie ndiyo mnaropoka ropoka tu kisa mmenunua kimechi cha jana subirini dozi yenu tarehe 3.10.12Inaonekana mashabiki wa simba mzee wa pisto amewachanganya sana.maana yanga kushinda tu.mnaropokaroka tu.!
Mtani chonga sana ila kipigo chako kipo pale pale
I see, watu mnakuwa wakali akitajwa Mhishimiwa Mwenyekiti Rage......Acha kubwabwaja kama mama wa kiswahili, tuwekee ushahidi alivyo mpiga huyo mchezaji vinginevyo funga mdomo lako.... kwa hiyo Magazetini FC mlimchagua Fisadi manji kulipiza kisasi kwa kuwa simba tulimchagua mwenyekiti mnae dai aliiba pesa za FAT/TFF....
angalia mabondia wakirusha masumbwi kwa mwamzi....simba hatuna ujinga huu..
View attachment 65832