Freyzem
JF-Expert Member
- Jun 29, 2013
- 10,061
- 24,484
Leo nimeshuhudia vitu vya ajabu sana pale Lupaso!
Siyo kwamba nilienda kucheki mechi hapana, nina mishe zangu nafanyia maeneo yale, hivyo matukio mengi ya mechi hasa wikiendi nayashuhudia!
Nimeshuhudia mashabiki wakiruka ukuta, wengine wakianguka na kuumia, wengine wakippteza vitu Kama fedha, simu, vitatu, nguo kuchanika n. k!
Kinachouma zaidi wapo mashabiki waliotoka mikoani, wengine nje ya nchi wakiwa na tiketi, lakini wakaambiwa uwanja umejaa wakaangalie mechi vibanda umiza!
Imekuwa ni desturi ya yanga kuingiza mashabiki uwanjani bure, na matokeo yake kuna baadhi ya maafa na uharibifu uliotokea, lakini wala hawajifunzi!
Zipo tetesi zinazoeleza kuwa, kwamba kuingiza mashabiki uwanjani bure ni mojawapo ya masharti ya waganga wao, na kwamba hata madhara yatokanayo ni makafara, hivyo hawaoni shida kwa kuwa hayo mambo yanawafanya wanapata matokeo!
Kwa haya ni vyema mashabiki wakaamka, vya bure vina gharama, ikibidi wenye dhamana wapige marufuku uingizaji wa mashabiki bure uwanjani, kwani madhara yake ni makubwa, na yanaonekana wazi!