Yanga kuikosa huduma ya Okwi

Yanga kuikosa huduma ya Okwi

Nakapanya

JF-Expert Member
Joined
May 22, 2012
Posts
2,096
Reaction score
709
Jina la mchezaji Emmanuel Okwi kutoka Uganda halijaorodheshwa katika majina watakaoichezea klabu ya Yanga kwenye mzunguko wa ligi kuu ya Tanzania bara mzunguko wa pili.hii ni kutokana na sakata lake na Etoile du sahel kutokumalizika hivyo kwa mzunguko huu Yanga hawataweza kumtumia Okwi mpaka utata utakapoisha.

Jana Fredrick Mwakalebela kwenye akaunti yake ya facebook aliandika kuwa ameota kuwa sakata la Okwi limeibuka upya,leo hii habari hiyo imekuwa kweli.

Polen sana wana Yanga naona taratibu mnaanza kufuata nyayo za ubabaishaji za ndugu zenu Simba.

Source: shaffihdauda.com
 
tunaota ndoto za MCHANA Okwi anaratibiwa na wenye nchi kwa sasa, Rage alishatuumiza
 
cc: Makoye Matale, Saleh Jembe, Bin Zubery
 
Jina la mchezaji Emmanuel Okwi kutoka Uganda halijaorodheshwa katika majina watakaoichezea klabu ya Yanga kwenye mzunguko wa ligi kuu ya Tanzania bara mzunguko wa pili.hii ni kutokana na sakata lake na Etoile du sahel kutokumalizika hivyo kwa mzunguko huu Yanga hawataweza kumtumia Okwi mpaka utata utakapoisha.

Jana Fredrick Mwakalebela kwenye akaunti yake ya facebook aliandika kuwa ameota kuwa sakata la Okwi limeibuka upya,leo hii habari hiyo imekuwa kweli.

Polen sana wana Yanga naona taratibu mnaanza kufuata nyayo za ubabaishaji za ndugu zenu Simba.

Source: shaffihdauda.com

FIFA si waliidhinisha kwamba Okwi ni mchezaji halali wa Yanga, hivi kuna chombo kingine cha mpira hapa duniani ni kikubwa kuliko FIFA au pengine kuna chombo kinachounganisha vyombo vya sayari zote kwa maana ya kuna shirikisho linaloundwa na mashirikisho kutoka duniani, kutoka Zebaki, kutoka Saturn, kutoka Jupter, kutoka Mars, kutoka Venus, kutoka Uranius, kutoka Neptune na kutoka Pluto au kuna kana FIFA kengine kadogo kauganda ndo kaliidhinisha. Haya mambo ya usajili ni yanatupotezea muda wetu wa kuzalisha na kufikiria vitu vingine.
 
hili sakata bado bichi,unakumbuka simba walikata rufaa fifa na bado haijasikilizwa?pia fifa ana maamuzi lakini kuna ile kmati ya rufaa ambayo ina mamlaka ya juu zaidi
 
FIFA si waliidhinisha kwamba Okwi ni mchezaji halali wa Yanga, hivi kuna chombo kingine cha mpira hapa duniani ni kikubwa kuliko FIFA au pengine kuna chombo kinachounganisha vyombo vya sayari zote kwa maana ya kuna shirikisho linaloundwa na mashirikisho kutoka duniani, kutoka Zebaki, kutoka Saturn, kutoka Jupter, kutoka Mars, kutoka Venus, kutoka Uranius, kutoka Neptune na kutoka Pluto au kuna kana FIFA kengine kadogo kauganda ndo kaliidhinisha. Haya mambo ya usajili ni yanatupotezea muda wetu wa kuzalisha na kufikiria vitu vingine.

kuna chombo kingine kinaunganisha vyombo vya sayari zote? Mkuu hiyo kali ya mwaka!
 
Hata bila okwi jangwani watabeba ubingwa. Timu imekamilika hatutegemei mchezaji mmoja
 
fifa si waliidhinisha kwamba okwi ni mchezaji halali wa yanga, hivi kuna chombo kingine cha mpira hapa duniani ni kikubwa kuliko fifa au pengine kuna chombo kinachounganisha vyombo vya sayari zote kwa maana ya kuna shirikisho linaloundwa na mashirikisho kutoka duniani, kutoka zebaki, kutoka saturn, kutoka jupter, kutoka mars, kutoka venus, kutoka uranius, kutoka neptune na kutoka pluto au kuna kana fifa kengine kadogo kauganda ndo kaliidhinisha. Haya mambo ya usajili ni yanatupotezea muda wetu wa kuzalisha na kufikiria vitu vingine.
yule mseamji wa fufa aliyekula kula hela za bin kleb na kusainisha fomu za okwi kinyemela ameshajiuzuru takribani wiki mbili zilizopita, nafikiri alisoma alama za nyakati!!
 
Mkuu utanisoma tu mbele ya safari, hata mm sikusomi na kijani kwenye Avatar yako, but asante kutujuza, nimeenda Shafih ndiyo habari ya juu

hahaa..kuhusu hiyo avatar usishtuke,nimevutiwa tu na jinsi mheshimiwa wazri mkubwa alivoshindwa kujizuia kuonyesha furaha yake kwa kicheko,hapo kwenye maada ulivyoandika nimeshindwa kuelewa so naomba ufafanue kidogo
 
yule mseamji wa fufa aliyekula kula hela za bin kleb na kusainisha fomu za okwi kinyemela ameshajiuzuru takribani wiki mbili zilizopita, nafikiri alisoma alama za nyakati!!

Rage aliwaambia kuwa kwenye suala la Okwi Yanga wameimgia chaka,naona kweli maneno yake aymeanza kutimia
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom