''Yanga is a Big Libolo" STEVE Pamoja na kuhama....

''Yanga is a Big Libolo" STEVE Pamoja na kuhama....

NAPITA

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2012
Posts
5,077
Reaction score
2,250
yanga.jpg
Hii noma sana Azam wameweka rekodi hadi wamesajili mshangiliaji lakini wamechezea kichapo.
yanga2.png
Wakati huo akiwa Yanga umwambii kitu kuhusu Yanga
stev2.jpgAkimpokea Okwi
stev1.jpg
 
Ha!ha!ha! hilo bango hatari sana du pesa mbaya huyu jamaa atakuwa analipwa si bule ameitumia fulsa vizuri kujiingizia kipato NAPITA Umepotea sana kulikoni.
 
Azam wamemnasa steve Yanga kisingizio kamfuata kavumbagu
 
Watu wanafki sana alikuwa anajifanya analia yanga ikufungwa sasa kama ye mzalendo aliihamaje
 
Wachezaji wanaolipwa pesa nyingi wanahama sembuse shabiki

Mchezaji hawezi kuwa mzalendo kama mshabiki,mchezaji ye anaangalia talent take,hata hivo wachezaji wengi wanaocheza nje hata timu ya nchi yake mbovu utaona ataenda kuisaidia
 
Hawezi hama. Anakusanya mpunga kijanja. Kamwe huwezi hama timu. Wanaodai wana uwezo wa kuhama si washabiki, ni wanafiki tu.
 
Kuna kipindi alitaka kuamia Simba....
 
View attachment 185274

Ni mara yangu ya kwanza kuona shabiki anahama timu, kumbe machozi yote yale alipokuwa Yanga ilikuwa usanii.

Huyu anafaa kukodishwa kwenye misiba
 
Back
Top Bottom