Mimi ninachojua Yanga wanasajili wachezaji wenye Quality kubwa zaidi kwa hii miaka mitano sasa.
Yani wachezaji a Yanga ni Bora na Class ya juu sana wengi ni Class II na III
Wakati simba ina wachezaji wengi daraja la 3 nne.
Mfano kwenye eneo la no 10 yanga wana.
Azizi ki.
Chama.
Pakome.
Max
Mudadhiri.
Je simba wana nani????????
Aibu kabisa