Yanga ikifungwa Jumamosi natembea bila nguo

Kwa maandalizi ya uhakika wanayofanya Yanga huko kambini na hali ya taharuki inayoendelea katika kambi ya wamchangani huko visiwani nachelea kusema simba hatoweza kupata sare sahau kuhusu kumfunga yanga hivyo basi simba akishinda jmosi nahaidi kutembea bila nguo kwanzia hapa tandale mpaka madale.
Nasikia kenda nyoa mavu.. ili kesho atembee uxhi, nasubiri kwa hamu
 
Kwa maandalizi ya uhakika wanayofanya Yanga huko kambini na hali ya taharuki inayoendelea katika kambi ya wamchangani huko visiwani nachelea kusema simba hatoweza kupata sare sahau kuhusu kumfunga yanga hivyo basi simba akishinda jmosi nahaidi kutembea bila nguo kwanzia hapa tandale mpaka madale.
basi ulipanga utembee uchi hadi kwa Mondi wenu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndio nimemaliza kutembea hapa Madale. Mnaotaka picha mje ghetto.
images.jpg
kaonekana madale
 
Kwa maandalizi ya uhakika wanayofanya Yanga huko kambini na hali ya taharuki inayoendelea katika kambi ya wamchangani huko visiwani nachelea kusema simba hatoweza kupata sare sahau kuhusu kumfunga yanga hivyo basi simba akishinda jmosi nahaidi kutembea bila nguo kwanzia hapa tandale mpaka madale.

Kamanda wangu FORTALEZA...kumbuka ahadi ni deni, vipi ulivua nguo jana?
 
Back
Top Bottom