Wana Simba SC ' Kazi imekwisha ' kata Tiketi yako haraka tarehe 30, Septemba 2018 Yanga SC anafungwa 2 kwa 0 Uwanja wa Taifa

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,646
109,031
Kama Wewe ni mwana Simba SC halafu una wasiwasi / hofu na ' Mtanange ' wa Jumapili tarehe 30, Septemba 2018 kwamba ' tutafungwa ' unakosea na Mimi GENTAMYCINE kupitia ' Uzi ' huu nakuhakikishia kwamba tayari tumeshamaliza ' Kazi ' na Yanga SC anafungwa Magoli Mawili kwa Bila ( Sifuri )

Msiogope na Mjiamini Kazi tumeshaimaliza na ' wamekwisha ' 100%.

Na kuna Kitu kama ' tukifanikiwa ' kukifanya leo usiku au kesho usiku au Jumamosi usiku eneo la nje la Uwanja wa Taifa basi kuna uwezekano Yanga SC akafungwa Magoli Saba ( 7 ) kwa Sifuri ( 0 ) ila tunangaika nalo huku tukijitahidi kwakuwa kuna ' Changamoto ' fulani tunaipata kutoka kwa Watu fulani waliopo pale Taifa lakini kuna ' Umafia ' mmoja tunaenda ' Kuufanya ' ambao pia pia utakuwa ni wa ' Kumkufuru ' kidogo ' Maulana ' lakini hatuna jinsi ' tutatubu ' Kwake baada ya ' Kumfunga ' Yanga SC hiyo Jumapili.

Safari tunataka si tu Wagombane wenyewe kwa wenyewe bali tunataka pia ikiwezekana basi ' Wauwane ' pia na Klabu yao ' isambaratike ' kimoja na tumalize ubishi watuheshimu Simba SC milele. Kuna Mtu wao yuko huko huko Morogoro Kambini ndiyo ' tunamtumia ' pasipo Wao kujua au Kumshtukia ndiyo anatufanikishia kila Kitu.

Kama Wewe ni ' mwoga ' usikaribie maeneo ya Uwanja wa Taifa usiku wa kuanzia leo hadi Jumapili kwani tumechoka na ' dharau ' zao Kwetu na tutakayofanya hapo ukiyaona unaweza hata usilale tena Usingizi na kuwa mwoga tu daima. Si ' wametucheka ' Kufungwa na Mbao FC na kutoka Sare na Ndanda FC sasa Jumapili tarehe 30, Septemba 2018 ndiyo ' watatutambua ' Simba SC.

Wana Simba SC kateni Tiketi zenu upesi, jazeni uwanja na ikiwezekana ingieni Uwanjani mkiwa mmeshika Bia, Soda, Juice pamoja na Kuku na Popcorns za kutosha kwani ' KAZI TUMESHAIMALIZA ' rasmi na hizo Goli / Bao Mbili ( 2 ) zipo pale pale na hata wakienda wapi hawawezi ' Kuzichomoa ' na kama ' wakizichomoa ' tu basi kuna uwezekano Kiongozi wao mkubwa akafa kama siyo kufariki kabisa.

Watatukoma!

Nawasilisha.
 
Vipi zile maiti mbili kutoka Ukara mlizoambiawa na mganga mzilete Dar mmefanikiwa kuzipata?
 
Aisee mkuu Gentamycine tunaunga mkono juhudi zenu hapo taifa na ticket nimeshakata tayari
 
Tutawafunga Yanga goli 3 na wafungaji goli la kwanza Okwi, la pili kwa penati atapiga Okwi na tatu atamaliza Kagere ...penati ya goli la pili itasababishwa na kumchezea rafu Kichuya.
 
Team ushirikina kazini
 
Mkuu tuko pamoja kwenye idadi magori, Ila Mimi nimeona kipa aliyefungwa jina lake linaanza na herufi A, na ukiondoa herufi ya mwisho kwenye jina lake halisi, ukaweka herufi A, jina LA kike utokea. Ni hayo tu mkuu.
Tutawafunga Yanga goli 3 na wafungaji goli la kwanza Okwi, la pili kwa penati atapiga Okwi na tatu atamaliza Kagere ...penati ya goli la pili itasababishwa na kumchezea rafu Kichuya.
 
Kama Wewe ni mwana Simba SC halafu una wasiwasi / hofu na ' Mtanange ' wa Jumapili tarehe 30, Septemba 2018 kwamba ' tutafungwa ' unakosea na Mimi GENTAMYCINE kupitia ' Uzi ' huu nakuhakikishia kwamba tayari tumeshamaliza ' Kazi ' na Yanga SC anafungwa Magoli Mawili kwa Bila ( Sifuri )

Msiogope na Mjiamini Kazi tumeshaimaliza na ' wamekwisha ' 100%.

Na kuna Kitu kama ' tukifanikiwa ' kukifanya leo usiku au kesho usiku au Jumamosi usiku eneo la nje la Uwanja wa Taifa basi kuna uwezekano Yanga SC akafungwa Magoli Saba ( 7 ) kwa Sifuri ( 0 ) ila tunangaika nalo huku tukijitahidi kwakuwa kuna ' Changamoto ' fulani tunaipata kutoka kwa Watu fulani waliopo pale Taifa lakini kuna ' Umafia ' mmoja tunaenda ' Kuufanya ' ambao pia pia utakuwa ni wa ' Kumkufuru ' kidogo ' Maulana ' lakini hatuna jinsi ' tutatubu ' Kwake baada ya ' Kumfunga ' Yanga SC hiyo Jumapili.

Safari tunataka si tu Wagombane wenyewe kwa wenyewe bali tunataka pia ikiwezekana basi ' Wauwane ' pia na Klabu yao ' isambaratike ' kimoja na tumalize ubishi watuheshimu Simba SC milele. Kuna Mtu wao yuko huko huko Morogoro Kambini ndiyo ' tunamtumia ' pasipo Wao kujua au Kumshtukia ndiyo anatufanikishia kila Kitu.

Kama Wewe ni ' mwoga ' usikaribie maeneo ya Uwanja wa Taifa usiku wa kuanzia leo hadi Jumapili kwani tumechoka na ' dharau ' zao Kwetu na tutakayofanya hapo ukiyaona unaweza hata usilale tena Usingizi na kuwa mwoga tu daima. Si ' wametucheka ' Kufungwa na Mbao FC na kutoka Sare na Ndanda FC sasa Jumapili tarehe 30, Septemba 2018 ndiyo ' watatutambua ' Simba SC.

Wana Simba SC kateni Tiketi zenu upesi, jazeni uwanja na ikiwezekana ingieni Uwanjani mkiwa mmeshika Bia, Soda, Juice pamoja na Kuku na Popcorns za kutosha kwani ' KAZI TUMESHAIMALIZA ' rasmi na hizo Goli / Bao Mbili ( 2 ) zipo pale pale na hata wakienda wapi hawawezi ' Kuzichomoa ' na kama ' wakizichomoa ' tu basi kuna uwezekano Kiongozi wao mkubwa akafa kama siyo kufariki kabisa.

Watatukoma!

Nawasilisha.
Mshindwe kwa jina la Yesu, wewe na jamaa zako wote mnaoendekeza ushirikina!!!
 
Back
Top Bottom