Yanga hajashindwa kesi CAS dhidi ya TFF, Bodi ya ligi na Simba sc

ngara23

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2019
Posts
15,774
Reaction score
35,994
Kuna upotoshaji unaendelea ati Yanga ameshindwa kesi, sio kweli Bali Yanga amepewa mwongozo kuwa aanzie kwenye kamati ya Rufaa ya TFF

Kanuni za CAS ni kuwa tukio linalolalamikiwa linapotokea CAS hutoa siku 21 liwe limefika mezani kwao

Baada ya bodi ya ligi kuhairisha mechi kihuni, Yanga walifata taratibu ya kuandika barua TFF, lakini TFF walikaa kimya ili kupuuza na kuwaingiza Yanga katika mtego ili siku 21 zipite na Yanga asiwe na sehemu ya kulalamika huko CAS

Yanga alitumia ujanja kupeleka kesi CAS bila kuwa na nakala ya maamzi kutoka TFF ambao walikuwa upande wa bodi ya ligi na Simba, tukumbuke kauli ya Karia alivokuwa Tanga

Kesi imefika CAS na wametoa Amri kuwa kesi irudi TFF isikilizwe na itolewe maamuzi na nakala zitolewe, Yanga asiporidhika arejee CAS na nakala ya huku

Huu ni mtego mpya Kwa Bodi ya ligi na TFF

Moto utawaka hii kesi Bado mbichi

Eng Hersi Said ni akili kubwa

Soma Pia: Yanga yadondokea pua CAS, dabi ipo palepale

TFF na bodi ya ligi wameamua kuwa matapeli na kuwa upande wa 5imba ila young Africans ni Taifa kubwa

TFF na bodi ya ligi wanaohujumu timu yetu Kwa ushabiki wao wa 5imba

Kila la heri timu ya wananchi young Africans

Yanga bingwa
 
Kama Yanga amepewa mwongozo na CAS ina maana wanasheria wenu hawakujua utaratibu wa kupeleka kesi CAS ni mpaka uanzie huko TFF?

Kama walijua basi lazima tukubaliane kuwa waliwadanganya viongozi wenu kuwa ipo namna ya Yanga kusikilizwa pasipo kupitia huko TFF ili wajipatie pesa ya kuendeshea kesi.

Au walijua na waliwaambia viongozi wenu hali halisi kuwa huko ni ngumu kwasababu utaratibu ni mpaka tuanzie humu ndani ila kwasababu Yanga inaongozwa na watu wajinga ambao wanatumia emetions wali force ili tu kuwapa imani mashabiki wao waonekane wana viongozi wenye misimamo.

Na kama hawakujua maana yake jopo zima la wanasheria likiongozwa na Simon Patrick hawapaswi kuaminika na hawana credibility ya kutosha kufanya kazi kwenye taasisi kama Yanga.

Nb: Majibu yote utayopata kwenye hizo assumptions hapo juu lazima yatoe conclusion kuwa Yanga inaendeshwa na watu walio faulu lakini sio wasomi na hawana elimu.

Ni walifaulu mitihani ili waje kupata ajira, na kwenye kufaulu mitihani kuna mbinu nyingi sio lazima utumie akili.
 
Yanga itaamini vipi viongozi wa TFF ambao ni Wanachama wa Simba,

TFF walishirikiana na Simba kuhujumu Yanga na kuhairisha derby bila kufata kanuni

Derby tunacheza na huu mtego TFF na 5imba wamenasa, Sasa leteni timu lenu tuwafunge mara ya 5 mfululizo
 
Kuna upotoshaji unaendelea ati Yanga ameshindwa kesi, sio kweli Bali Yanga amepewa mwongozi kuwa aanzie kwenye kamati ya Rufaa ya TFF

Sasa hapo ni hiyo kamati kuamua ushenzi hapo young Africans tutarejea CAS Kwa kasi ya umeme maana tutakuwa na rufaa ya hukumu ya hiyo kamati ya kitapeli ya TFF na Karia ambaye ni mwanachama wa Simba

Ushauri wangu Kwa viongozi wa Yanga waachane na kesi tucheze tuwafunge hao 5imba mara ya 5 mfululizo na hayo mashindano Yao ya UMISETA yaani shirikisho

Soma Pia: Yanga yadondokea pua CAS, dabi ipo palepale

TFF na bodi ya ligi wameamua kuwa matapeli na kuwa upande wa 5imba ila young Africans ni Taifa kubwa

TFF na bodi ya ligi wanaohujumu timu yetu Kwa ushabiki wao wa 5imba

Kila la heri timu ya wananchi young Africans

Yanga bingwa
Wewe unazidi kudhihirisha kauli ya Manara kuhusu wenye akili hapo klabuni kwenu.

Mmepeleka kesi CAS kutaka Debi izuiliwe na mahakama imesema haina uwezo wa kuisikiliza Kwa sasa hiyo kesi, hapo kama mnakua hamjashindwa kesi Kwa hiyo mmeshinda??

Kushinda kwenu kesi kungetokea endapo tu ombi lenu la kuzuia dabi lingefanikiwa. Sasa kama ombi limepigwa chini mnasemaje hamjashindwa kesi?
 
1000277203.jpg
kashinda kesi gani huyu?
 
Imetupiliwa mbali kwa sababu hamkufuata utaratibu. Maana yake mmeonekana ni mbumbumbu wa sheria. Ni vilaza 😂 😂
 
Yanga itaamini vipi viongozi wa TFF ambao ni Wanachama wa Simba,

TFF walishirikiana na Simba kuhujumu Yanga na kuhairisha derby bila kufata kanuni

Derby tunacheza na huu mtego TFF na 5imba wamenasa, Sasa leteni timu lenu tuwafunge mara ya 5 mfululizo
Tutolee ushubwada huyo mwenyekiti wa bodi si ni yanga...na yuko kwny kamati zenu huko ndani..huyo boimanda sijui si ni yanga...
Hoja dhaifu hoja za watu failures...
 
Yanga itaamini vipi viongozi wa TFF ambao ni Wanachama wa Simba,

TFF walishirikiana na Simba kuhujumu Yanga na kuhairisha derby bila kufata kanuni

Derby tunacheza na huu mtego TFF na 5imba wamenasa, Sasa leteni timu lenu tuwafunge mara ya 5 mfululizo
Kumbe mnacheza, basi sawa
 
Nyie ni wapumbavu na ulichokiandika ni upumbavu pro max..
Yani mna wanasheria ambao hawajui kesi inaanzia wapi hiyo ni timu au kijiwe cha kahawa..
Letenk timu mgongwe...

Ile TFF na kamati zake wapo upande wa Simba na ni Wanachama wa 5imba
Waliwakimbiza mbumbumbu wasipigwe 5 tena
Sasa ni hv TUTACHEZA na kuwapiga kipigo cha mbwa koko
 
Wewe unazidi kudhihirisha kauli ya Manara kuhusu wenye akili hapo klabuni kwenu.

Mmepeleka kesi CAS kutaka Debi izuiliwe na mahakama imesema haina uwezo wa kuisikiliza Kwa sasa hiyo kesi, hapo kama mnakua hamjashindwa kesi Kwa hiyo mmeshinda??

Kushinda kwenu kesi kungetokea endapo tu ombi lenu la kuzuia dabi lingefanikiwa. Sasa kama ombi limepigwa chini mnasemaje hamjashindwa kesi?
We ndo mwanachama halisi wa Rage aliyewaita mbumbumbu
 
Yani. Ukikaa hivi unawaza kuwa yanga Wana wanasheria wasomi kabisa na hawajawahi SHINDA kesi yoyote na hawajui hata hatua madhubuti za kufwata ili kushtaki pale wanapo onewa unachukia Sana. ...
Unajichekea kimoyo moyo uanaondoka.
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Ile TFF na kamati zake wapo upande wa Simba na ni Wanachama wa 5imba
Waliwakimbiza mbumbumbu wasipigwe 5 tena
Sasa ni hv TUTACHEZA na kuwapiga kipigo cha mbwa koko
Tano labda umpige dodoma jiji...wale maduka yenu wote tumeshawafurusha..ndomaana mechi ya juzi mlishinda kwa msaaada wa kayoko...
 
Kijili ndo Kayoko
Au sijazoma vizuri
 
Yani. Ukikaa hivi unawaza kuwa yanga Wana wanasheria wasomi kabisa na hawajawahi SHINDA kesi yoyote na hawajui hata hatua madhubuti za kufwata ili kushtaki pale wanapo onewa unachukia Sana. ...
Unajichekea kimoyo moyo uanaondoka.
Ulikuwa mtego ili 5imba alete timu afungwe mara ya 5 mfululizo
 
Sisi tunachojua kwa mujibu wa kauli ya Manara kuwa wenye akili klabuni kwenu wako watu 2 tu ambao wanafahamika.... So wewe ni miongoni mwa lile kundi lenye watu ambao hamnazo..
 
Angalia zao la ujinga lingine hili.Umepeleka pingamizi kuzuia TFF na Bodi ya Ligi kutangaza tarehe ya mechi ya Derby umepigwa chini unadai hujashindwa!Una akili timamu kweli?Hujafuata utaratibu kwa upumbavu unarudishwa ulikotoka unadai eti sijashindwa!!!Ulitaka pointi 3 umezipata?Umeshinda kwa tafsiri ya kikichaa.
 
Yanga itaamini vipi viongozi wa TFF ambao ni Wanachama wa Simba,

TFF walishirikiana na Simba kuhujumu Yanga na kuhairisha derby bila kufata kanuni

Derby tunacheza na huu mtego TFF na 5imba wamenasa, Sasa leteni timu lenu tuwafunge mara ya 5 mfululizo
Sio TFF peke yake hadi CAS nayo imejaa Simba watupu si unaona hapa mwanasheria wetu akimkabidhi jezi ofisa wa CAS
Screenshot_20250501-232232.png
 
Back
Top Bottom