Yanga: Fujo na vitisho ni nini?

Yanga: Fujo na vitisho ni nini?

Smart codetz

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2023
Posts
228
Reaction score
933
FUJO NA VITISHO NI NINI? Ni mara atoke Mayele aingie Starboy Mzize, mara atoke Farid aingie Morrison, mara atoke Nondo aingie Doumbia, mara atoke Mauya aingie Mudathir, mara atoke Kisinda aingie Musonda😀

YANGA NI NINI? Ni timu iliyojaa yenye Sub kila eneo mpaka Makocha! 🔰

D1096809-5159-41B6-9E7A-97DCCF74CB06.jpeg
 
FUJO NA VITISHO NI NINI? Ni mara atoke Mayele aingie Starboy Mzize, mara atoke Farid aingie Morrison, mara atoke Nondo aingie Doumbia, mara atoke Mauya aingie Mudathir, mara atoke Kisinda aingie Musonda

YANGA NI NINI? Ni timu iliyojaa yenye Sub kila eneo mpaka Makocha!
View attachment 2584759
Uzi wa GT tayari, karibuni Kwa michango.
 
Fujo ni pale timu inapoanza mashindano ya ligi ya mabingwa akiwa bingwa mara gafla anajikuta kwenye mashindano ya maluza akiwa luza.
 
Vitisho vya waliofeli kwa wakubwa wanawatisha maluza wenzao.
 
Back
Top Bottom