Yanga bingwa Kombe la Mapinduzi baada ya kuifunga Simba SC

Hahahaaaa...... hahahaaaa...... Sijawahi kusikia utetezi kama huu tokea niijue Simba enzi za akina Mohamed Kajole na Thuwen Ally!
 
Lamine
Kaseke
Yacouba
Yasin
Mwamnyeto
Feisal

Hawa wote wako first 11 ya Yanga na awakuwepo na hapo sijamuweka metacha,shida nyau utelembwe manara kakuaminisheni ujinga sana kiasi mara zote hamjifunzi kutokwenda na matokeo uwanjani
 
Labda unambie Fei toto ila ao wengine sio.
Forward zenu wote tegemezi mliwachezesha wakati Simba ni MK14 tu na mlimkaba mpaka akakosa oksijen.
 
Maneno ya mkosaji haya, kwenye ligi hawakuwepo eeh
 
UNATAFUNWA.
 
Kha!!,,Yanga washamba sijapata kuona,eti wanapita"oya oya'wanashangilia wamechukua ubingwa wa hii ndondo ya mapinduzi!!
Ama kweli ushamba ni mzigo.
 
Kha!!,,Yanga washamba sijapata kuona,eti wanapita"oya oya'wanashangilia wamechukua ubingwa wa hii ndondo ya mapinduzi!!
Ama kweli ushamba ni mzigo.
Kuchukua ubingwa sio ishu,ishu kuchukua ubingwa kwa kumpaku.a utelembwe
 
Acha urongo wewe mtoto wa kike kwani leo Hawa hapa chini wamecheza?
Moro
Mwamnyeto
Yasin
Kaseke
Nchimbi
Feitoto
Faridi
Metacha
Kalinyos
Yacouba na wengineo
Hebu tuache ushabiki wa kinafiki, Leo mpira mmeboronga Sana.
 
Mnamechi 12 feb sidhani kama mna friendly maech so mapinduzi ilikuwa muhimu sana, kwenye ligi hamtakuta na yanga kabla ya kukutana na as vital
 
Timu ya yanga inayo patikana jangwaji, Leo imejinyakulia kombe la kimataifa, Na usiku huu, wanakesha Na kufurai kwa kubeba ubigwa huo, mbele ya mbabe wa nyika Simba SC, hongera kwenu utoporo
Mmetobolewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…