Mpwa am gud! Kumbuka pilau la sikukuu kwako ntakuja na kiroba change tuuuu
Goooood, niko pahala karibu na huko ,nitapitia halafu next destination Taboraaaa
Anapeta na kupepeta...!
sipo mpwa nipo Arusha
Tafadhali mwambia rahisi awahutubie wazee wa arusha