Yanga anafungwa leo

Simba hana timu ya kumfunga Yanga! Doumbia haoni lango huwa anaokoa! Simba hawana mtu wa kumdhibiti Shalulile! Hawana timu ya kumdhibiti Zoukouani asilete madhara langoni!
Huu usajili wa Yanga ukiwa ni mzuri basi tutapata matokeo, natamani winga ya kushoto iwe nzuri.
 
KMC siyo KCMC
 
Kweli embu tuonyeshe arajiga
 

Attachments

  • FB_IMG_1786530348642.jpg
    58.3 KB · Views: 4
Msimu uliopita
Yanga kocha alikuwa mpya roman folz, Simba kocha alikuwepo na timu muda fadlu lkn bdo alifungwa simba
Simba alikuwa na maingizo mapya mengi kwenye ile mechi, lakini Yanga alianza na wachezaji wake wale wale ambao chemistry ilikuwepo tayari kati yao ni kwa namna flani ilikuwa advantage kwa Yanga kushinda ile mechi
 
Yanga bingwa
 
Mpanzu anaudhi sana yule mkuda. Anakimbia na mpira weeeeeee, watu washafungua, badala atoe pas anang'ang'ana na mpira, mwisho wa siku anapokonywa mpira.

Fvvçk u Mpanzu
 
Hilo hata yanga wanalijua...

Yanga hana uwezo wa kumfunga Simba kwa siku za karibuni.
 
Hizi porojo huwa mnazitoa wapi, huyo kocha wa simba alipokuta na yanga kwa mara ya kwanza yanga walikuwa hawana kikosi chao chote Cha misimu iliyoisha?.
 
Yanga ya Bakuli tia majitiamaji hakiwa kufungwa na Simba Leo hii yanga iliyo na vikosi viwili vyote vizuri!!.
Hii mechi Simba anakufa kipndi Cha kwanza.
Baada ya mechi ufungue JF...

Usikimbie.
 
Combined mystical reading:
A fiercely contested match, likely ending in a draw prior to penalties, but with cosmic energy slightly leaning toward Simba SC.
 
Mudathir Asianze Leo huwa anapoteza sana Mipira, Max, Damaro, na Abuya Wakianza Wote Mnyama Anakufa 2 na Zaidi...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…