Anselm
JF-Expert Member
- Nov 16, 2010
- 1,710
- 291
Last edited by a moderator:
Hizi stori za mtaani, hakuna ushahidi.Vijana watakaporudi kila mmoja atakuwa na mpira wake..watapiga picha na mipira yao pale airport then wanairudisha ofsin kwa viongozi tayar kwa kuifanyia UPASUAJI!!
Fidel80 nipo Kiongozi wangu,unajua siku hizi nina majukumu mapya ambayo yananinyima kabisa wasaa wa kufanya mahudhurio ya kutosha humu unless kuna tukio zito kama lile la Mnyama kupigwa 3-0 juzi,kwenye matukio ya namna hiyo expect my presence no matter what!!!