Yanga Afrika F.C ziarani Uturuki

Yanga Afrika F.C ziarani Uturuki

instambul.jpg

Wachezaji wa Yanga wakiwa wamepumzika katika Uwanja wa ndege wa kimataifa Instambul wakisubiria ndege ya kwenda katika mji wa Antalya
 
Why Turkey? Afadhali mngepeleka timu kwenye nchi yenye hali ya hewa inayofanana na huku kwetu. Nina wasiwasi wachezaji wenu wataathirika in a way. But, again, why Turkey? Ukifuatilia inawezekana kuna deal fulani lisilo la kawaida huko kwa manufaa ya uongozi.

Nako mbona mngeuliza mbona Congo au mbona Somalia
 


Hoteli waliyofikia Yanga inavyoonekana, wanakula raha aje?

Mkuu Fidel80,ndio maana wachezaji wa Simba wanalilia kuhamia Yanga. Vitu kama hivi kule hawavipati.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Fidel80,ndio maana wachezaji wa Simba wanalilia kuhamia Yanga. Vitu kama hivi kule hawavipati.

Hahaha Simba umesikia wameibiwa mshahara wa Sunzu sasa pesa walikuwa wanapeleka wapi wakati ofisi zao zipo Msimbazi au walikuwa wanaenda kujenga heshima ya droo na kushika nafasi ya 3 huko sinza waliko ibiwa?
 
Vijana wakirudi kazi moja ni kuchukua ndoo tu
 
Vijana watakaporudi kila mmoja atakuwa na mpira wake..watapiga picha na mipira yao pale airport then wanairudisha ofsin kwa viongozi tayar kwa kuifanyia UPASUAJI!!
 
734669_507228519298552_1378599442_n.jpg


Meneja wa Timu Hafidh saleh akiongea na wachezaji wakati wa dinner
 
206620_507222465965824_1991826890_n.jpg


Taita na Juma Abdul ndani ya pipa
 
268046_507224025965668_87556066_n.jpg


Mbuyu Twitte, Kabange Twitte Crashwise umewaona?
 
Last edited by a moderator:
548157_507224219298982_993103565_n.jpg


Mara ooh Yondani kabaki mara ohh katoroka sijui nini huyo hapo wana msimbazi
 
541726_507225672632170_2069937825_n.jpg


Watani walikuwa wanachonga sana ooh safari imeota mbawa mmeona vijana hao wanavyo teleza?
 
shukrani kwa Mapicha mkuu Fidel80 pamoja sana..Dogo ngasa ndio amekosekana hapo.!
 
Last edited by a moderator:
Vijana watakaporudi kila mmoja atakuwa na mpira wake..watapiga picha na mipira yao pale airport then wanairudisha ofsin kwa viongozi tayar kwa kuifanyia UPASUAJI!!

Wivu kidonda ukishiriki utakonda.!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom