Yanga 3 - apr 1

Yanga 3 - apr 1

BASIASI

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2010
Posts
9,732
Reaction score
5,010
Tukutane taifa
ushauri
usinunue tkt kwa wahuni ulinzi ni kupita misafara ya mkulu
 
Ohoo mtani! Ngoja nawewe ulalie kichapo kesho au ulidhani kilasiku itakuwa j5?
 
Yeah, Yanga watapata kadi tatu za njano, na APR itakuwa kadi moja. Ila magoli yatakuwa kinyume chake!
 
No, si Yanga 3 - 1 APR. Ni Yanga 1 - 0 APR. Kocha wa APR amedai watacheza kujihami zaidi this time.
 
Back
Top Bottom