YANGA 1 AL AHLY 0 CAFCL 2014

Mpira sio historia mpira ni achievement mpaka leo mna 0.5 kama radius of the sphere mnazidiwa point mpaka na namungo na biashara licha ya kushiriki miaka yote hyo badala mtengeneze team ya ushindani mmebaki historia tu na majungu.
Point hazikusaidii kubeba kombe, hazina maaana yoyote kama hujabeba kombe.
Ata uwe na point 50,000 kama huna kikombe hakuna mtu atakuheshim.
 

ilikuwa ni kwa mara ya kwanza kwa bingwa mara 8 wa afrika wakati huo Al ahly alipokutana na timu ya wananchi Dar Yanga Afrika akapasuka bao moja bila​

KAMA KUNA TIMU YOYOTE IMEWAHI KUIFUNGA AL AHLY basi wajue ni marudio tu WANANCHI wamefanya hayo kitambo sana (Been there done that)​

Mashabiki wengi vijana wa enzi ya Azam Tv hii mechi iliwapita Al ahly waliomba poo hapo uwanja wa taifa nawaletea match report kwa mujibu wa africanfootball.com​

Young Africans beat champions Al Ahly - 2014 CAF Champions League - Al Ahly

YOUNG AFRICANS BEAT CHAMPIONS AL AHLY​

Saturday Mar 01, 2014. 18:05

View attachment 2305828
Tanzania League Champions have this evening stopped eight time African champions Al Ahly of Egypt 1-0 in the first leg of the CAF Champions League tie played in the National Stadium in Dar es salaam.

Fresh from winning the Africa Super Cup, the Egyptians failed to put their act together as the home side dominated proceedings.

Skipper Nadir Haroub Cannavaro scored the important goal in the 82rd minute. The home side with Ugandan stars Emmanuel Okwi, Hamis Kizza and play maker Mrisho Ngasa run rings around the giant side, but failed to find early goals.

Al Ahly who have been under lots of pressure from their fans back home because of poor results in the domestic League stood firm and defended in numbers. But the home side made sure they gave their fans a perfect weekend gift ahead of the return leg in Cairo next weekend.
Kwa sasa haisaidii. Tuandae timu kwa ajili ya mashindano yajayo
 
Anatafutiza historia za utopoloni,
Wameshikwa pabayaaaa, woiiiiiiiih.

Byuti byuti.
 

Attachments

  • 20220725_175556.jpg
    20220725_175556.jpg
    57 KB · Views: 4
Makopo ya mo,hasa ya enzi za azam tv, yatakuja fasta kukutupia kejeri
 
Mpira sio historia mpira ni achievement mpaka leo mna 0.5 kama radius of the sphere mnazidiwa point mpaka na namungo na biashara licha ya kushiriki miaka yote hyo badala mtengeneze team ya ushindani mmebaki historia tu na majungu.
Wenzako wanatafta kombe wewe unatafta points
 
KAMA KUNA TIMU YOYOTE IMEWAHI KUIFUNGA AL AHLY basi wajue ni marudio tu WANANCHI wamefanya hayo kitambo sana
Ahaa, kumbe kitambo sana! Wenzenu wanafanya kila wanapokutana nao, tena sio kitambo, miaka mitatu tu iliyopita wamewaua mara mbili. Hebu turudi kwenye mjadala wa jezi mpya
 
Point hazikusaidii kubeba kombe, hazina maaana yoyote kama hujabeba kombe.
Ata uwe na point 50,000 kama huna kikombe hakuna mtu atakuheshim.
Utachukuaje kombe bila kupitia hzo hatua unaona simba haanzi hatua ya awali hio ndo achievement sasa kombe la CAF champion's league unategemea kuchukua msimu mmoja ile ni project kama unavyoona world cup .
 
Back
Top Bottom