Idd hashim
Member
- Jan 4, 2013
- 79
- 17
Mateja watatu walikuwa wakihangaika kuangua embe! Waliangua kwa muda mrefu lakini hakuna aliyefanikiwa kulidondosha! Teja mmoja akaamua kupanda juu ya muembe kwenda kucheki kama ile embe itakuwa imeiva au la' alipofika juu akaibonyeza akakuta imeiva! Akashuka chini na kuwaambia wenzake "tuendelee kuitungua jamani imeiva"