Yanayotukera pindi tukisafiri

Acha uzinzi...

Mithali 6:32 Mtu aziniye na mwanamke hana akili kabisa
[emoji23][emoji23]
Kwaiyo nikazini na mbwa?

Mfano ikatokea umezini na mbwa, hao hao wanawake wanaokupondea usizini nao utawasikia wanasema "bora angeniomba mimi ningempa"

Wanawake hamjawahi kueleweka [emoji23][emoji23]
 
Hiyo sio kula,hiyo inaitwa kufakamia...
 
Mimi huwa napenda kuskia ile kauli ya "Ndugu abiria, ni muda wa kuchimba dawa"

Wakishuka karibia nusu ya abiria, mi nakimbilia kule upande wa wanawake, nakuwa natazama maajabu[emoji23] wengine kuniona tu wanainuka, mkojo unatokea kwa nyuma, shouuuuuuuuu[emoji23]

Au basi, ngoja nikaoge kwanza
 
Mshezi Sana ww [emoji23][emoji23][emoji23] na ww unachunguliwa [emoji23][emoji23][emoji23]
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…