Alex Fredrick
JF-Expert Member
- Jun 21, 2016
- 680
- 1,338
Vurugu kubwa tunayoiona Venezuela leo ni vita ya Kiuchumi tu.Serikali ya Rais Maduro ni ya kijamaa na ndio wananchi wengi wanaiunga mkono kwa maana wamedhibiti uchumi wa Nchi kutoka kwa mabepari America ambao siku za nyuma ndo walikuwa wanaiba mafuta Venezuela
Siku za nyuma niliwai msikia Kaka angu Prof Kitila Mkumbo akisema kwamba vita ya Uchumi ndio vita mbaya kuliko ya kudai Uhuru
Hata leo Rais Magufuli anapambana na vita ya Uchumi ili uelekee kwa wananchi na sio mabepari. zamani tulikuwa tunaibiwa rasilimali zote huku Viongozi wetu tuliowapa dhamana wakijifanya hamnazo.
Kinachotokea leo Venezuela ni somo murua kwa Nchi za Africa kushikamana ili Rasilimali zetu ziwanufaishe Wananchi wetu
Alex Fredrick
Dar es salaam