Nicholas
JF-Expert Member
- Mar 7, 2006
- 25,260
- 7,195
Ni aibu sana kwa nchi kuwa na watu wasio na reference,watu wasio na tafsiri yenye kueleweka ya issues na maamuzi wanayoyafikia.Tumeshuhudia watu wakivunja sheria na kutumia madaraka vibaya km waziri mkuu,mwanasheria mkuu,Katibu wa wizara,na hata ikulu.
Tumehuhudia pia wizi wazi Yaani wizi wa hela inayoonekana na kiasi kinajulikana huku pakiwa na luluki la ushahidi wa wazi wa walionufaika kupindisha sheria na kulazimisha wizi ufanyike.
Ila serikali ya JK iliamua kufanya sifa kwa mtu ambaye anaonekana kutotakiwa kuwa wa kwanza au pekee.Cha kushanga kuna watu angalau unaweza sema wamejiingiza vibaya km Yona kaingia ktk hili la ESCROW Tena.
Tunaamiwa hela ya Escrow haipo ya serikali,ingawa sijui km Tanesco ni ya nani na inapata hela wapi?Na km kweli kiasi kinacholipwa ni kiasi halisi cha umeme aliopokea Tanesco.
Hakuna mahali Mramba kashtakiwa kuiba hela iliyo mezani na hesabu inayojulikana.Ingawa hii ya ESCROW na nyingine watu huchukua hela wazi kwa kiasi kinachojulikana na kinachoonekana kilipo.
Hakuna anayechukuliwa hatua.Km ni kutumia madaraka vibaya...sidhani km mramba anamfikia Werema,Chenge, Pinda, wassira,Lukuvi, Jairo..etc.Hata ikulu yenyewe. Napata shida digest huu wendawazimu wa hii nchi.