Yanayotokea sasa nchini yanaondoa uhalali wa Kesi ya Mramba

Nicholas

JF-Expert Member
Mar 7, 2006
25,289
2,000
Ni aibu sana kwa nchi kuwa na watu wasio na reference,watu wasio na tafsiri yenye kueleweka ya issues na maamuzi wanayoyafikia.Tumeshuhudia watu wakivunja sheria na kutumia madaraka vibaya km waziri mkuu,mwanasheria mkuu,Katibu wa wizara,na hata ikulu.

Tumehuhudia pia wizi wazi Yaani wizi wa hela inayoonekana na kiasi kinajulikana huku pakiwa na luluki la ushahidi wa wazi wa walionufaika kupindisha sheria na kulazimisha wizi ufanyike.

Ila serikali ya JK iliamua kufanya sifa kwa mtu ambaye anaonekana kutotakiwa kuwa wa kwanza au pekee.Cha kushanga kuna watu angalau unaweza sema wamejiingiza vibaya km Yona kaingia ktk hili la ESCROW Tena.

Tunaamiwa hela ya Escrow haipo ya serikali,ingawa sijui km Tanesco ni ya nani na inapata hela wapi?Na km kweli kiasi kinacholipwa ni kiasi halisi cha umeme aliopokea Tanesco.

Hakuna mahali Mramba kashtakiwa kuiba hela iliyo mezani na hesabu inayojulikana.Ingawa hii ya ESCROW na nyingine watu huchukua hela wazi kwa kiasi kinachojulikana na kinachoonekana kilipo.

Hakuna anayechukuliwa hatua.Km ni kutumia madaraka vibaya...sidhani km mramba anamfikia Werema,Chenge, Pinda, wassira,Lukuvi, Jairo..etc.Hata ikulu yenyewe. Napata shida digest huu wendawazimu wa hii nchi.

 

Nicholas

JF-Expert Member
Mar 7, 2006
25,289
2,000
Kila kitu kinakwenda against the terrorist CCM. Kila tukio linaipiga CCM, wana CCM wanaipiga CCM,wasio CCM wanaiiga CCM ....ukombozi upo karibu sana.
 

mwa 4

JF-Expert Member
Oct 8, 2013
3,392
1,250
Haya mambo yalete mwakani siye tunafuatilia bunge usituchoshe bana.
 

mwa 4

JF-Expert Member
Oct 8, 2013
3,392
1,250
Kila kitu kinakwenda against the terrorist CCM. Kila tukio linaipiga CCM, wana CCM wanaipiga CCM,wasio CCM wanaiiga CCM ....ukombozi upo karibu sana.
Wewe ulishafilisika hunajipya bawacha mnaishia kuchaguana lakini hoja hamnanazo tena.
 

Nicholas

JF-Expert Member
Mar 7, 2006
25,289
2,000
Haya mambo yalete mwakani siye tunafuatilia bunge usituchoshe bana.
Kwani naongelea nini.Huo udogo wako wa akili sidhani hata km unaweza kusaidi jua jinsia yako.Naongelea kutowajibishwa kwa kwa hawa aliofanya kosa kubwa na la wazi kiasi cha kufanya shtaka km la Mramba kuwa halikustahili hata kufikiria fikishwa mahakamani.Yeti serikali inayolindwa akili ndogo km zenu haioni tatizo.Ni wazi hamjui hata sifa gani aua kosa gani ni kosa.mIhemko ndio inawaongoza.
 

Nicholas

JF-Expert Member
Mar 7, 2006
25,289
2,000
Wewe ulishafilisika hunajipya bawacha mnaishia kuchaguana lakini hoja hamnanazo tena.
haha...wakabila mna shida..sana.JK tangu amtoe Mramba akaingiza wadini na wakabila wenzie..hata yale mabilioni aliyoyakuta kwa mbwembwe sijui km anajua ngapi zimerudi.Akili zenu ndio maana hata huu wizi ni wa kijinga kuliko.Msiojua kutafuta hela hambebeki.
 

Nicholas

JF-Expert Member
Mar 7, 2006
25,289
2,000
Ndio maana nakuambia acha kuunga unga. hatuwezi kuhalalisha wizi kwa wizi
Akili yako haitoshi hata kukusaidia jua jinsia yako.Naunga nini au nahalilisha nini?Hapa naulizia kipimo gani CCM walitumia kufanya ukabila,ukanda na udini wao?Madaraka yapi mramba kayafuja kuliko werema,kuliko mkulo,kuliko karamagi,kuliko chenge,kuliko Pinda,ikulu etc?AU ni wizi gani kaufanya kuliko tibaijuka, chenge,weremea, etc?
 

Sangarara

JF-Expert Member
Sep 29, 2011
13,111
2,000
Akili yako haitoshi hata kukusaidia jua jinsia yako.Naunga nini au nahalilisha nini?Hapa naulizia kipimo gani CCM walitumia kufanya ukabila,ukanda na udini wao?Madaraka yapi mramba kayafuja kuliko werema,kuliko mkulo,kuliko karamagi,kuliko chenge,kuliko Pinda,ikulu etc?AU ni wizi gani kaufanya kuliko tibaijuka, chenge,weremea, etc?
Sasa hapo ukabila uko wapi.

toa akili za panzi hapa.
 

Nicholas

JF-Expert Member
Mar 7, 2006
25,289
2,000
Duh hata uji wa mgonjwa ktk REA na BARABARA,ZAHANATI nazo hakuna wa kujibu mashitaka mahakamani?
 

Nicholas

JF-Expert Member
Mar 7, 2006
25,289
2,000
Kwanini Chenge asifikishwe kwa kusign mikataba kifisadi na yeye kukiri,huku akiipotezea hela nchi?
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom