tafadhali member alieoa juzijuzi ndo watuhabarishe.
Mhh!..kutafuta watoto fasta namna hiyo?..Na gudtime mtakula lini sasa?bado sijaolewa but pia nimeskia kwa waliioolewa na kuowa kwamba huo ndio wakati mzuri wakutafuta watoto maana wanakuwa akili zimetulia pia,pia ndio wakati wa kupanda maisha yao mapya na hasa kuenjoi tendo takatifu maana mwanzo walikuwa wanajiiba tu,mtazamo wangu tu.
HILI NALO ZITO!!............. zaidi ya kupumzika na kashkash za harusi sidhani kama kuna la zaidi. Mmekaa uchumba over 3 to 5 years mmejuana vya kutosha sasa mtajuana vipi nadni ya wiki au wiki mbili?honeymoon IS THE STATE OF ONESELF-MIND!...otherwise hatuhitaji sana kizazi hichi.nimeishi uchumba na wife over five years...!sasa nitaongea nae kipi kipya?...
Mhh!..kutafuta watoto fasta namna hiyo?..Na gudtime mtakula lini sasa?
honeymoon IS THE STATE OF ONESELF-MIND!...otherwise hatuhitaji sana kizazi hichi.nimeishi uchumba na wife over five years...!sasa nitaongea nae kipi kipya?...
sasa mama,nikijifungia nahatarisha ajira yangu!..BACK TO WORK!back to JF....wewe Geoff hebu kaa jifungie huko utakuja baada ya week moja au mbili
honeymoon IS THE STATE OF ONESELF-MIND!...otherwise hatuhitaji sana kizazi hichi.nimeishi uchumba na wife over five years...!sasa nitaongea nae kipi kipya?...
Jesus?honeymoon IS THE STATE OF ONESELF-MIND!...otherwise hatuhitaji sana kizazi hichi.nimeishi uchumba na wife over five years...!sasa nitaongea nae kipi kipya?...
....siwezi kubisha kwenye hili!lakini do we need to waste time with COSTS IMPLICATIONS just for marriages??...!wakoloni wana-kufaya immediately.am telling yaJesus?
Geoff nishakwambia unatakiwa kuwa mbali na keyboard!..Uko premature kuwepo hapa kwa muda huu!
Huenda ikawa kweli ukiishi nae uchumba kwa miaka 5, lakini ule ulikuwa UCHUMBA mind you!...
U have taken a step ahead kwa kufunga ndoa takatifu altareni!..So hii ni maneno ingine mazee...sio mambo ya uchumba!..A dog isnt a pupie!...kuna mambo kibao mapya mnatakiwa kuyaendea taratibu kwa mjadala uliotulia!
nitakupigia mama!na pics nitakupa ukihitajieeeeeeeeeeeh back happy very happy tell us yaliyojiri
Binafsi nafikiri Honeymoon ni kipindi cha ukweli na uwazi kwa kila kitu kuanzia suala zima la mapenzi, tabia mbaya na nzuri za kila mmoja, kujifunza kubebeana mizigo na maisha kwa ujumla. unajua unapooa au kuolewa hutakiwi kufikiria kuachana so kipindi hiki ni kizuri cha kujifunza kuwa hakuna aliye perfect na kukubali kujifunza mazuri na mabaya ya mwenzi wako na kuwa tayari kuyabeba. Unajua mtu yoyote ambaye hamjalelewa wala kuzaliwa familia moja lazima muwe tofauti kwa kila kitu sasa nafikiri katika kipindi hiki cha uwazi na ukweli utawafanya muunde tabia yenu namaanisha TABIA YAKE + TABIA YAKO = TABIA YENU.
Tchao
Chinga1