Yanayonipata ukweni yaani acheni kabisa

Yanayonipata ukweni yaani acheni kabisa

Tatizo ni mkwanja tu, hakuna kingine, ungekuwa na ukwasi hao wazee wangehangaika kukuamkia wao.
 
Acha uoga wewe, utageuzwaje mtumwa wakati unatoa mahari? Kuwa huru salimia ukijisikia.
 
Yaaani acheni Kabisa...kila mtu awe mkubwa au mtoto unasalimia kwa Heshima sasa naona imekuwa Kero maana unashindwa kujua yupi ni yupi unaogopa kuharibu profile yako lazima akipita unampa hey! Na sasa sijui wameambiana waje wote duuh mpaka nikirudi kwangu nitashika Adabu ya maana sana.
Itakuwa umeoa msukuma wewe, wao ndo dada hakui na hata mme wa dada ana hadhi sawa na dada hivyo hakui. Utaamkia hadi mtoto wa miaka miwili kisa shemeji yako
 
Nikajua nimesoma pakiwa na kelele za mmbu na feni ndo mana sikuelewa, mmbu nimeua, feni nimezima watoto nimekimbiza bado sijaelewa, Heri ya krismas Mtoa mada.
 
Yaaani acheni Kabisa...kila mtu awe mkubwa au mtoto unasalimia kwa Heshima sasa naona imekuwa Kero maana unashindwa kujua yupi ni yupi unaogopa kuharibu profile yako lazima akipita unampa hey! Na sasa sijui wameambiana waje wote duuh mpaka nikirudi kwangu nitashika Adabu ya maana sana.
Mzee baada ya kupata kazi juzi tu umeamua kuchukua na jiko kabisa? Ok sawa kila la heri!
 
hahahaaa tatzo unazunguka zunguka sana.....tulia sehem moja ukae.....!!!!!

[HASHTAG]#Atubu[/HASHTAG]
 
Hatimae nimerudi salama na sasa kazi tu hapa hakuna mbwembwe tena za wakwe maaana si kwa mateso Yale aise
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom