EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,708
- 35,719
- Thread starter
- #41
SI MTOA HOJA KASEMA ANAYEMTAKA NI MUIMBAJI WA NYIMBO ZA INJILI AU???Huyo mtumishi wa mungu yuko wapi na wewe [emoji1787][emoji1787]
SI MTOA HOJA KASEMA ANAYEMTAKA NI MUIMBAJI WA NYIMBO ZA INJILI AU???Huyo mtumishi wa mungu yuko wapi na wewe [emoji1787][emoji1787]
TENA HAPO GARI IMEJAA NA MPO VITUO VYA NJIANIKero ninyingi sana aisee watu kuongea Siri za familia zao bila staha yani mambo ya ndani kabisa bila aibu.
Halafu kuna ile unakuta unaharaka zako dereva anaishtua shtua kama anaondoka hivi, akitaka kuondoka tu konda utamsikia ngoja ngoja chukua huyo
Kurudiarudia kile kitendo hua nikero kubwa sana kama unaharaka zako
HAHAHAAAAA WE JAMAA UNADHARAU SANA AISEEKwa dar kuna utofauti wa daladala za mbagala,gongolamboto na za mitaa wa tegeta,bunju. Kwa kweli ukiniambia unaishi gongo la mboto na mbagala nakutafakari sana. Siku xapakia wagari ya huko duuh sio kwa kelele zile yaan gari lina kelele kama darasa la darasa la kwanza ambalo hayupo mwalimu
Kuna konda mmoja wa gari la simu 2000 -Masaki alikuwa anakomaa abiria warudi nyuma wakati gari limejaa alipofika kwa MTOGOLE akazira akashuka chini akamwambia derava usiondoe gari kisha akaenda kukaa mbali duuh ilikuwa asubuhi watu tunawahi job ilibidi abiria washuke waende kumbembeleza kama mtoto kisha akakubali kurudi huku anacheka daaaah yaani daladala Bongo tabu saaana.Nakasirika sana konda anapolazimisha mrudi nyuma wakati gari limejaa na anaona, anawasubirisha kituoni na mnachelewa safari
Hao ni WAHAYA wa KYERWAkuna wale wakipanda daladala wanaongea 'ile milioni 10 usiniwekee crdb, ntumie sasa hv mpesa' cha kushangaza mpesa kiwango cha kuhifadhi sio zaidi ya 5m
Kuna konda mmoja wa gari la simu 2000 -Masaki alikuwa anakomaa abiria warudi nyuma wakati gari limejaa alipofika kwa MTOGOLE akazira akashuka chini akamwambia derava usiondoe gari kisha akaenda kukaa mbali duuh ilikuwa asubuhi watu tunawahi job ilibidi abiria washuke waende kumbembeleza kama mtoto kisha akakubali kurudi huku anacheka daaaah yaani daladala Bongo tabu saaana.
Umechanganya mafaili mzeeSI MTOA HOJA KASEMA ANAYEMTAKA NI MUIMBAJI WA NYIMBO ZA INJILI AU???
Hahaha niliwahi kusafiri kwenda kusini huko dereva mwenyewe ni muimbaji wa hizo masingeli bwana bwanaaa ,tulichezewa singeli hadi nikajutaa ,sikuwahi kupanda basi dereva ni muimbaji [emoji23]Dereva kupiga mziki wa singeli...
Aaaarrggghhh... Aisee aisee aisee.... Nachukia vibaya mno.
Kweli aiseeUmechanganya mafaili mzee
🙂🙂🙂😀😀😀Hahaha niliwahi kusafiri kwenda kusini huko dereva mwenyewe ni muimbaji wa hizo masingeli bwana bwanaaa ,tulichezewa singeli hadi nikajutaa ,sikuwahi kupanda basi dereva ni muimbaji [emoji23]