EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,708
- 35,719
- Thread starter
- #21
Kuna watu mnaacha magari yenu si kwasababu mabovu au hamna mafuta mnafata BeibeziiiiiiiPanda za chuo uone totoz za ud
Kuna watu mnaacha magari yenu si kwasababu mabovu au hamna mafuta mnafata BeibeziiiiiiiPanda za chuo uone totoz za ud
hizo sijabahatika kupanda natakiwa nipande nikiwa wapi?Panda za chuo uone totoz za ud
sijawai kutongoza kwenye daladala naogopa shobo kama hizo..KUOMBA NAMBA KWA SAUTI NAYO KERO
KUTONGOZA KWA SAUTI KWENYE DALADALA UNABOA NDOMANA WANAWAJIBU SHOBO
Nimecheka sanakuna wale wakipanda daladala wanaongea 'ile milioni 10 usiniwekee crdb, ntumie sasa hv mpesa' cha kushangaza mpesa kiwango cha kuhifadhi sio zaidi ya 5m
hawa huwa madalaliNimecheka sana
Wengine tunaburudikaDereva kupiga mziki wa singeli...
Aaaarrggghhh... Aisee aisee aisee.... Nachukia vibaya mno.
Hapo safari yangu itakuwa nzuri Sana!! 😉😉😉😉😉Unawezakuta mzaramo.
sa akiwa mzenji mtakula TAARABU hadi mnafika
tena wanalazimisha kulipwa aisee wasipolipwa wakali hatari!!!Mi wananikera tu wapiga debe kwa kujifanya wamefanya mm nipande daladala fulani wkt kimsingi mm napanda gari nnayotaka bila kishawishiwa na yeyote iwe konda au mpiga debe
Njoo hapa makumbusho,muulize konda naenda mlimani chuo nipande gari gani atakuelekeza halafu kaa siti ya wawili pembeni yako atakuja kukaa mtoto mkali sana,sasa usiwe domo zege akija msalimie halafu endelea mwenyewe huko mbelehizo sijabahatika kupanda natakiwa nipande nikiwa wapi?
wengine tunavumiliana tuHapo safari yangu itakuwa nzuri Sana!! 😉😉😉😉😉
Kuna mmoja alipanda ile kuinama tu shanga zikaonekana kama zote..halafu ukimuangalia huwez mdhania kabisaWadada na kuacha wazi MAMBO YA PWANI, yale ya Kiunoni!
Njoo hapa makumbusho,muulize konda naenda mlimani chuo nipande gari gani atakuelekeza halafu kaa siti ya wawili pembeni yako atakuja kukaa mtoto mkali sana,sasa usiwe domo zege akija msalimie halafu endelea mwenyewe huko mbele
Nb;usisahau kuleta mrejesho
Poleni Sana Mimi huwa nachukia nikipanda daladala kuna mtoto anayelia Sana alafu foleni dah 🙁🙁🙁🙁🙁🙁 Natamanigi kushuka!!wengine tunavumiliana tu
we jamaa kama unadrive au upo mikoani huwezi jua hizi kero aiseeDah hizo comment balaa!!! Ila mkumbuke kuna tafsir ya kisheria inasema mtu wa kawaida ni yule ambaye anaweza kupanda kutumia town bus(Daladala) na akaweza kumuda hizo changamoto mlizoorodhesha.
hiyo nayo keroPoleni Sana Mimi huwa nachukia nikipanda daladala kuna mtoto anayelia Sana alafu foleni dah 🙁🙁🙁🙁🙁🙁 Natamanigi kushuka!!
Mzee kutongozwa hufundishwi halafu usijpange wala usipanie hutokea tu automatically!haha kwani kuna habari gani embu niongezee madini kidogo baada ya salamu niendelee vipi maana hili zoezi linafanyika leo na mrejesho utapata kabla ya saa 10 jioni...
Huyo mtumishi wa mungu yuko wapi na wewe [emoji1787][emoji1787]mnapofundishana kumtongoza MTUMISHI WA MUNGU MNANIKERA SANA