Yanayojitokeza muda wa kuoa ukifika

tamuuuuu

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2014
Posts
22,765
Reaction score
31,221
Yani muda wa kuoa ukifika Mungu hukufungulia mambo mengi Sana.Kubwa ni wife materials kadhaa hujitokeza bayana kabisaaaa.
Mfano mie hapa takribani mabinti 6 ambao wamelelewa ktk maadili mazuri na ya dini wamejidhihirisha waziwazi.Wengine wamewaambia hadi mama zao juu ya urafiki wa kawaida tu usio wa kimapenzi tulio nao.Changamoto ni hali halisi ilivyo kiuchumi ili kufikia hatua takatifu ya ndoa.
Kijana wa kiume jiheshimu,heshimu jamii utaona matokeo yake.Wamama watataka uoe mabinti zao.
 
Mbona kwa wengine ni kinyume? Ila staki maswali ya kuthibitisha nikisemacho
 
Wamama watataka uoe binti zao.Mabinti zao je?
 
Wanawake wapo kwa maslahi. Play very careful.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…