Papa D
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 753
- 182
Kikwete siyo tatizo, Makamba siyo Tatizo, Pinda siyo Tatizo, Werema siyo tatizo, Kombani siyo tatizo, wengi siyo tatizo!!:
TATIZO NI MFUMO WALIORITHI KUTOKA KWA WAKOLONI. TATIZO NI NYERERE ALIYEAMUA KUKUBALI KURITHI KATIBA YA MKOLONI KISHA KUBAKI AKITUMIA BUSARA ZAKE BADALA YA SHERIA MAMA. NYERERE ALIAMINI MA-RAIS WOTE WATAKAOMRITHI WATAMUDU KUTUMIA BUSARA ZAO KUONGOZA TAIFA PASIPO KUWA NA KATIBA IMARA. Matokeo yake warithi wake wote wametumia hiyo katiba kujenga usultani na mitandao ya WIZI [mfano hai wa mtandao wa wizi ni IPTL ukiigusa utaambiwa ina mkataba halali!!!].
Misingi ya katiba ya Mkoloni ilikuwa ni kutugawa na kututawala. baada ya uhuru tuliweka misingi ya kuungana lakini tukashindwa kuiweka kwenye andishi mkuu [KATIBA]. kiongozi wetu mkuu akaongelea kuungana ilhali sheria mama ina misingi ya kutugawa!!!
THEREFORE: in order to get the best constitution originated from our desire for unity, we need a Leader with desire to make history not a Leader desired by history!! CCM and its Leaders are desired by History!!